Live updates :Taifa Stars vs Misri leo tar 04:06:2016

Hapo ndipo ifike time ya usimba na uyanga kuuacha 2tengeneze lg itayot0a wachezaj b0ra
 
Stars haiwezi kupiga hatua kutokana na uozo wa shirikisho la mpira Tanzania.
Mtakuja nielewa baada ya Taifa stars kutolewa.
 
Huyu kipa nae, yani anaenda kumpanga beki nyuma ya ukuta wake anaacha kumpanga kule ambapo hakuna ukuta, sarah kapiga huku anajua kabisa hili goal
Wala Kipa pale hajafanya makosa, kuna wachezaji walikua pale, wajamaa wa misri wakaenda kuwazonga kwa lengo la kukwepa mpira utakapopigwa na wao wakasogea kizembe tu., hujaona no 15 na yeye alikwepa mpira?
Bado vijana wetu hawaruhusu akili wawapo uwanjan!!
 

Nyie wengi wenu hamjui mpira ndio maana mnahamaki hamaki bila mpango, unatoa tasmini ya mpira baada dakika 90, na kutangulia kufunga sio kushinda. Lamaana ni kwamba vijana wanacheza vizuri na wanaonesha ushindani.
 
Hivi ni lini taifa star ikatufuta machozi, kila wakati ni maumivu tu
[emoji27] [emoji27] [emoji27] mweeeehhh
 
Kuna timu za kujipa moyo lakini siyo hii ya kichwa cha mwendawazimu.....
Mkuu binafsi nakuelewa sana japo watu wengi hawatokuelewa.
Ili mpira wetu usonge mbele ni lazima usimba na uyanga ufe, viongozi legelege aina ya malinzi wasipewe nafasi kuongoza mpira wetu, wadhamini kuongeza udhamini.
 
Nyie liveupdate vvilazakweli !.kabla ya kufungwam mmlikuwa mnasifia.,sasa mbapinda !???
 
Mkuu binafsi nakuelewa sana japo watu wengi hawatokuelewa.
Ili mpira wetu usonge mbele ni lazima usimba na uyanga ufe, viongozi legelege aina ya malinzi wasipewe nafasi kuongoza mpira wetu, wadhamini kuongeza udhamini.

Udhamini si tatizo kubwa sana ... tatizo naona ni mfumo wa uandaji ni vigumu timu yetu kuchukua risk ya wachezaji wapya .... Serengeti huishia wapi?

Malinzi ni mpuuzi kabisa
 
Kapten mpya kapaisha juuuuuu πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…