Goodluck TZ
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 1,448
- 661
Hapo ndipo ifike time ya usimba na uyanga kuuacha 2tengeneze lg itayot0a wachezaj b0ra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah sokaletu mkuu bado sanaNdo kufungwa huko nako
Wala Kipa pale hajafanya makosa, kuna wachezaji walikua pale, wajamaa wa misri wakaenda kuwazonga kwa lengo la kukwepa mpira utakapopigwa na wao wakasogea kizembe tu., hujaona no 15 na yeye alikwepa mpira?Huyu kipa nae, yani anaenda kumpanga beki nyuma ya ukuta wake anaacha kumpanga kule ambapo hakuna ukuta, sarah kapiga huku anajua kabisa hili goal
Ni kweli mkuu, yaan itatuchukua mda sana kuleta ushindani kwenye medani ya kimataifa, mpaka sasa vijana wetu hawaelewi wanafanya nini pale uwanjan, ni samatta tu anachukizwa na jinsi wanavyocheza na kukosa utulivu kweny final 3rd ya adui!!
Kama itawezeakana Maguri atoke kipnd hiki cha pili, so far hajasomeka!!
Mkuu binafsi nakuelewa sana japo watu wengi hawatokuelewa.Kuna timu za kujipa moyo lakini siyo hii ya kichwa cha mwendawazimu.....
Tuwe hapa pamoja kupeana updates.
=========================
KIKOSI CHA STARS LEO :
1. Deogratius Munish 'Dida'
2.Juma Abdul
3. Mwinyi Haji
4. Aggrey Morris
5. Erasto Nyoni
6. Himid Mao
7. Thomas Ulimwengu
8. Mwinyi Kazimoto
9. Elius Maguli
10.Mbwana Samatta
11.Farid Mussa
Akiba :
1. Aishi Manula
2. Mohamed Hussein
3. David Mwantika
4. Shiza Kichuya
5. Jonas Mkude
6. Deus Kaseke
7. John Bocco
Benchi la ufundi
Kocha. Charles Boniface MkwasaKocha msaidiz. Hemed Morroco
=========================
Here we go.....
=========================
HT :TAIFA STARS 0-1 MISRI.
Kama sio shabiki wa soka,si uende Love Connect!Kwani game inachezwa Misri au Tanzania mkuu?
Mkuu binafsi nakuelewa sana japo watu wengi hawatokuelewa.
Ili mpira wetu usonge mbele ni lazima usimba na uyanga ufe, viongozi legelege aina ya malinzi wasipewe nafasi kuongoza mpira wetu, wadhamini kuongeza udhamini.