Live Updates: UD Songo Vs Simba SC, CAF Championship

Mbona Wabrazil wote wameanzia nje! Tatizo ni nini hasa? Halafu Ajib yupo majeruhi? Au ndiyo amemfuata rafiki yake Tshabalala ili wasugue benchi?
 
Hivi nyie Mikia mbona mnapenda kutuiga sana? Tulianza kujiita Wa Kimataifa mkaiga tukawaachieni, leo hii tumekuja na Timu ya Wananchi mmeiga pia. Umizeni vichwa mbumbumbu nyie.
Nimeamin kweli vyura hamna akili, tena gongo wazi kabisa
Tuwaige ili iweje kwani hayo maneno mmeyakatia hati miliki, kwanza neno mwananchi ni universal huwezi kulitumia peke yako

Tulia uone tunavyowatoboa hawa ndungu zenu wa hiari
 
Hivi nyie Mikia mbona mnapenda kutuiga sana? Tulianza kujiita Wa Kimataifa mkaiga tukawaachieni, leo hii tumekuja na Timu ya Wananchi mmeiga pia. Umizeni vichwa mbumbumbu nyie.

Sikutegemea kuwa Vyura ni Mapopoma Kiasi hichi!!!!!

Kwani Simba ni Mabingwa wa Jupiter? Au hujui kama Simba ni Mabingwa wa Nchi tena ya Tanzania?

Sisi Simba tunatumia uhalisia ndoyomana tunajiita Mabingwa wa Nchi, Lakini nyinyi munatumia Mambo ya kusadikika ndiyomana munatumia kujiita wa Kimataifa! Sasa sijui Mataifa gani hayo ya kusadikika mulikuepo nynyi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…