Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

yanga leo anashinda hii mechi dhidi ya mtibwa kwa sababu ifuatayo;
• Kutaka Kuwatishia Waamuzi ( hasa huyu wa leo dhidi ya Mtibwa FC ) awaogope na awapendelee ili washinde Mechi yao.
 
Kila la kheri Mtibwa sukari, leo kuna dalili za timu kujitoa huku kiwa inaongoza ligi.
 
Chama la Morogoro na Mandhari ya Uluguru Mountain, wadogo zangu Hassan Kessy, Hilka na Chanongo chakazeni hao Vyurra kesho tuone Press ya Mtu Mzima kusasambua!
 
Mfungwe na leo ili mjitoe kwenye ligi kama mlimbende wenu alivyosema.
wapi yanga alisema akifungwa anajitoa

alilalamika maamuzi mabovu ya waamuzi na sio akifungwa anajitoa

yanga akijitoa radha itaisha mbio za T.K Master utaziona wapi?
 
Upepo wa leo Kama sio mzuri vilee, Kuna dalili ya mtu kususa ligi au tukashuhudia matukio ya ajabu uwanjani leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…