Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

wapi yanga alisema akifungwa anajitoa

alilalamika maamuzi mabovu ya waamuzi na sio akifungwa anajitoa

yanga akijitoa radha itaisha mbio za T.K Master utaziona wapi?
Fuatilia press aliyofanya kubwa-jinga Mwakalebela jana ewe kidimbwi
 
Ili mtibwa aweze kushinda leo wanatakiwa leo wasimchezeshe namba mbili wao Ramadhani Kessy,hapo ushindi wataupata tena mapema tu
 
J
juma_nyangi_atua_mtibwa_sugar%2B%2540binzubeiry%2B.jpeg
 
wapi yanga alisema akifungwa anajitoa

alilalamika maamuzi mabovu ya waamuzi na sio akifungwa anajitoa

yanga akijitoa radha itaisha mbio za T.K Master utaziona wapi?
Mbio zake tutaziona kwenye racing show azam sport hd
 
Angalia sasa upuuzi wa Cedric Kaze unavyowapa mbumbumbu maneno ya kutusimanga! 😊

Ukimuuliza sababu ya kumuacha nje Kiungo Mkata umeme Namba 1 Nchini Mwalimu Mukoko Tonombe kwenye ile mechi, sidhani kama atakuwa na jibu la maana! Hovyo kabisa.
 
wapi yanga alisema akifungwa anajitoa

alilalamika maamuzi mabovu ya waamuzi na sio akifungwa anajitoa

yanga akijitoa radha itaisha mbio za T.K Master utaziona wapi?
Si tunataka mpira kama unataka mbio nenda kwenye riadha
 
wapi yanga alisema akifungwa anajitoa

alilalamika maamuzi mabovu ya waamuzi na sio akifungwa anajitoa

yanga akijitoa radha itaisha mbio za T.K Master utaziona wapi?

Mbio za T.K si sawa na za Zuchu tu! Kwahiyo kumuona Zuchu itatosha sana tu.
 
Mi nimeshafika kwa Mkapa hapa, though watu si wengi sana. Maybe wataongezeka I don't know
 
Utopolo leo watashinda japo kwa mbinde..refa atakua muoga sana leo.
 
Uzi umeanzishwa, hata updates uto mnashindwa kuweka!?
 
Back
Top Bottom