Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

Uto mmkua wanyonge kweli kimyaaa si mnaongoza ligi nyie na ni unibiteni
 
kwan Tff imetowapa majtbu gan...? nmaana walisema wanaweza wakajitoa kwenye ligi endapo hawato pata majibu 😇 😇 😇
 
😄😄😄 tunaongoza ligi ndiyo ila hata leo tunampga mtu tatu, kulipiza sare tatu mfululizo🤣🤣🤣
 
Halft Time tumemkosa kosa Uto,
Tukirudi lazima Chura akae tu, hakuna jins
 
hawa nchimbi na sarpong 1st half duuu aya bwana najua kazi tunaimaliza 2nd
 
Back
Top Bottom