Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

Watani tunawahitaji hatutakubali msimamo wenu wa kususa....! Tunawaombea mpate japo 'SARE'...
 
Mshika kibendera upande was goli la Yanga anaenda kinyume Na refa wa kati.
 
Baada ya sare ya leo ndio waendelee kushinda sasa
 
Hivi Kidimbwi FC kuna usajili mpya wa mtu anaitwa "Mwaisa"?
Nipo safarini nasikiliza Radio nasikia.. Uto wanakwenda.... Mwaisa mwaisa anaenda!!!!
 
Jamani.....Hata Penati Ya Uongo na Kweli mliopo uwanjani hakuna...Wapewe tu Uto ....ili Mwakalebela atulie
 
Hawa mtibwa kama vp wapigwe tu, unakosaje goal la waz hivi
 
Back
Top Bottom