Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

Hawa mtibwa kwenye attacking mbona wamepoa sana
Mtibwa ni wazuri kwenye Defence kwa upande wa Attacking force mpaka sasa wan Goli 9 tu za kufunga hawapo vizuri kwenye Attacking.
 
Hawa uto hata wakijitoa tutawafuta huko huko
 
Mtibwa ni wazuri kwenye Defence kwa upande wa Attacking force mpaka sasa wan Goli 9 tu za kufunga hawapo vizuri kwenye Attacking.
Kumbe ndio maana, basi watafute hata faul karibu na 18
 
Back
Top Bottom