Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

Jamani tuwaonee Yanga huruma, Wanatumia nguvu nyingi sana uwanjani pasipo mipango. Believe me ikifika dkk ya 70 wachezaji wote watakuwa hawajiwezi kwa mambio wanayokimbia na jinsi wanavyojitutumua. Mpira ni akili jamani siyo mbio
 
Drowoooo oyeeeeee in jiwe voice.
 
Bora mkuu umejitolea kuanzisha uzi wa mechi ya leo manake Uto wamesusa hawataki hata kutujuza yanayojiri uwanjani kwenye mechi zao.
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Back
Top Bottom