Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

dakika ya ngapi huko ili watu tufungashe vifurushi maana huenda ndo ikawa kwa kheri tena 🤭🤭🤭🤭
 
Kwa uchezeshaji huu, na maamuzi ya washika vibendera haishangazi Tanzania kutokuwa na waamuzi katika mashindano ya kimataifa (CHAN, AFCON, ligi ya mabingwa na shirikisho)
 
67'Yanga 0-0 Mtibwa
Sapong na Kaseke Out, Farid na Fiston IN
 
Hawa utopolo wapewe hata penati tu jmni Yule kilo 800 atajinyonga bure
 
Mshaanza visingizio.
Wa Mtibwa alichezewa rafu clear,Mpira ukaenda nje. Mshika kibendera akasema Mtibwa mmetoa,Yanga rusheni. Refa akasema hapana,Mtibwa pigeni faulo,of which alikuwa sahihi
 
Nchimbi nje...Ametimiza mwaka sasa hajafunga bao [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…