Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuu ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano lakini sio yanga kushinda mechi hiiii.
WATANZANIA WOTE TUWEKE ITIKADI, DINI NA VYAMA VYETU PEMBENI TUUNGANE KWA PAMOJA KUIOMBEA NA KUIPA YANGA SAPOTI SIKU YA LEO INAPOPAMBANA NA AL HALY! MIMI BINAFSI NITAKUWA UWANJANI NA JEZI YANGU NYEKUNDU YA SIMBA NIKIWASHANGILIA DAR YOUNG AFRICANS KUONYESHA UZALENDO KWA TIMU HII YA TANZANIA.Yanga kwanza,Simba baadae!
Mushinde mukifungwa hanihusu.Leo mtoto hatumwi dukani, Natamani kikosi cha Yanga (Tanzania) kiwe hivi: Na wewe unaweza kupendekeza
kiwe vipi, haya ni mawazo yangu:
1. Deogratius Mushi
2. Nadir Haroub
3. Oscar Joshua
4. Mbuyu Twite
5. Kelvin Yondan
6. Frank Domayo
7. Athumani Idd
8. Haruna Niyonzima
9. Didier Kavumbagu
10. Emanuel Okwi
11. Mrisho Ngassa
SUB:
1.Tegete,
2.Simon Msuva
3.Juma Kaseja
4.
5.
itakuwa live superspot au azamtv!!!!
Tatizo haojamaa wakishinda patakua hapakaliki watajiona tayari washachukua ubingwa na wanauwezo wakucheza hata na Real Madrid. Ili niwaunge mkono kwanza waahidi hawatajisifu na kutusumbua kwa makelele yao humu, lasivyo "Wabigwe" tu.WATANZANIA WOTE TUWEKE ITIKADI, DINI NA VYAMA VYETU PEMBENI TUUNGANE KWA PAMOJA KUIOMBEA NA KUIPA YANGA SAPOTI SIKU YA LEO INAPOPAMBANA NA AL HALY! MIMI BINAFSI NITAKUWA UWANJANI NA JEZI YANGU NYEKUNDU YA SIMBA NIKIWASHANGILIA DAR YOUNG AFRICANS KUONYESHA UZALENDO KWA TIMU HII YA TANZANIA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI DAR YOUNG AFRICANS Makoye Matale, watu8
WATANZANIA WOTE TUWEKE ITIKADI, DINI NA VYAMA VYETU PEMBENI TUUNGANE KWA PAMOJA KUIOMBEA NA KUIPA YANGA SAPOTI SIKU YA LEO INAPOPAMBANA NA AL HALY! MIMI BINAFSI NITAKUWA UWANJANI NA JEZI YANGU NYEKUNDU YA SIMBA NIKIWASHANGILIA DAR YOUNG AFRICANS KUONYESHA UZALENDO KWA TIMU HII YA TANZANIA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI DAR YOUNG AFRICANS Makoye Matale, watu8
Mukifikisha idadi hiyo ya magoli naomba nipewe pumziko la mwezi mzima segerea.tunapiga 4 hapo!tukienda kwao watashinda 2
Ndoto zingine bana
Nakushauri ndugu yangu beba shati lengine la akiba. Ikitokea mumepasuka dungu 5 unavua huo uzi wako wa nzi wa chooni unatia ndani ya mfuko wa Rambo kisha unatoa shati lako unalitinga, taratibu unarejea nyumani. Lasivyo utarudi na haibu.Nishang'aaa na uzi wangu apa nasubiria mwarabu ale
Hiyo Ela bora nimtafute chuchu karanga anipe raha ya Dunia tu.Wazee wa kubeti, leo wekeni mzigo wa kutosha kwa Yanga!
Kuna kiumbe kinaitwa MANDIETA hakichelewagi kuja na madebe humu,sasa bora wapasuke atafute pakwenda kupigia kelele na madebe yake.YANGA ana alergy na nyekundu. Warab piga hao tumechoka maneno mtaani
Nakushauri ndugu yangu beba shati lengine la akiba. Ikitokea mumepasuka dungu 5 unavua huo uzi wako wa nzi wa chooni unatia ndani ya mfuko wa Rambo kisha unatoa shati lako unalitinga, taratibu unarejea nyumani. Lasivyo utarudi na haibu.