LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Mzee Akilimali sijui leo itakuwa vip??
Majina ya Kizaramo hayatumiki ovyo bila ya kujua undani wake kwanza. Kama hili la Akilimali. Jina kamili (ingawa sio halisi) ni Akilimali Kwamwenyenazo. Wale wote wanaoishia kuipa Yanga taswira ya huyu mzee, watakuwa wamepigika na jina la huyu mzee!
 
Kila la khery leo Al Ahly muwapige goal 5 au wiki kabisa hao YeboYebo almaarufu Kandambili ili tuheshimiane,,,Uzalendo ni kwenye team ya Taifa tu.
 
Wakuu kuna link yoyote mnaeza tupia nasi tulio mbali tuone hiki kipute online??
 
dah!huyu Rage jamani,mbona anapunguza majembe ya maana humu ndani loh!

Kiukweli hii ni mechi ngumu sana kwa Yanga na beki inabidi zifanye kazi ya Ziada kuzuia mashambulizi, la sivyo mtajuta kuwafahamu hao waarabu, jamaa wanapenda sana kupitia pembeni, kwa hiyo Mbuyu Twite na Joshua inabidi waongeze umakini zaidi ya asilimia 90.
 
WATANZANIA WOTE TUWEKE ITIKADI, DINI NA VYAMA VYETU PEMBENI TUUNGANE KWA PAMOJA KUIOMBEA NA KUIPA YANGA SAPOTI SIKU YA LEO INAPOPAMBANA NA AL HALY! MIMI BINAFSI NITAKUWA UWANJANI NA JEZI YANGU NYEKUNDU YA SIMBA NIKIWASHANGILIA DAR YOUNG AFRICANS KUONYESHA UZALENDO KWA TIMU HII YA TANZANIA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI DAR YOUNG AFRICANS Makoye Matale, watu8

Acha umbea wewe wakati we ni YeboYebo live bila chenga,,Uzalendo team ya Taifa tu leo unachezea nyuma tango kama 3-0 hivi
 
Last edited by a moderator:
Ugumu kwa Yanga ni kufuzu kwa raundi ijayo lakini kushinda leo siyo issue. Maadui wote wa Yanga washangilieni hao wapenga kamasi tuwapige pamaja nanyi. Tutashinda bila ya sapoti ya Simba na wenzake. Post hii inafuta ahadi ya mandieta, tukishinda lazima tuwazomee wote waliokuwa upande wa Al Ahly.
 
Last edited by a moderator:
Ugumu kwa Yanga ni kufuzu kwa raundi ijayo lakini kushinda leo siyo issue. Maadui wote wa Yanga washangilieni hao wapenga kamasi tuwapige pamaja nanyi. Tutashinda bila ya sapoti ya Simba na wenzake. Post hii inafuta ahadi ya mandieta, tukishinda lazima tuwazomee wote waliokuwa upande wa Al Ahly.

Ndugu yangu Makoye Matale mngekuwa na mtu kama huyu anayeonekana kwenye hii video mngetisha sana mechi ya leo na pengine mngekuwa na uhakika zaidi wa kushinda.

Ronaldo Luís Nazário de Lima - Skills and Goals HD - YouTube
 
Kilala heri Yanga najua tutafungwa cha msingi ni kupunguza magoli ya kufugwa.
 
Back
Top Bottom