LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Hizi hatari kwenye lango la waarabu badae yanga wasije jutia.....
 
images
Mkuu nimezimiss zile pct zako unazo Update lakini sikuhizi naona umesusu kuzitupia.
 
Watu wakihamishia ushabiki timu za Ulaya wanaambiwa ukolon haujawatoka, Yanga walaaniwe kwa kuzuia matangazo ya tv. Nangoja mechi ya Stoke City. Mfungwe kuanzia goli 3
 
Aboutrika yupo?mi nataka hawa yanga leo wapigwe 8
Hawa waarabu sio jadi yao kushinda mengi ugenini hapa wanatafuta draw au kufungwa bao chache..., ukienda kwao ndio idadi ya magoli kama sio arbaa basi ni khamsa
 
Watu wakihamishia ushabiki timu za Ulaya wanaambiwa ukolon haujawatoka, Yanga walaaniwe kwa kuzuia matangazo ya tv. Nangoja mechi ya Stoke City. Mfungwe kuanzia goli 3
shukuru tu mkuu kuna jf utapata matokeo..

Dk 33 yanga 0 - 0 al ahly
 
Kuna mchezaji anaitwa Gamal....sina imani nae!
 
Back
Top Bottom