Live Updates: Yanga Vs Namungo FC (VPL)

Hii mechi ya utopolo na Namungo ikibaki hivi hivi tunataka tu point 2Duh kumbe tar 27 wanakutana tena
Kwa maana ya kumuacha Azam. Utupolo akifungwa leo, hata ashinde mechi zote zilizosalia hawezi kufikisha points za mnyama alizokuwa nazo sasa. Mpaka leo Utopolo atabakia na mechi 7 na points zake 56. Akishinda zote atakuwa na points 56 + 21 = 77. Mnyama mpaka leo anazo 78...
 
Kashafungwa huyu dk 90 tayari tunasubiri tu mpira uishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…