LIVE: YANGA SC Vs IHEFU FC

Hii hat-trick angepiga mayele tusingelala leo.
 
Mara ya mwisho mchezaji wa Kolo kufunga hat trick ilikuwa lini
 
Ihefu warudishe magoli Sasa Yanga tumeingiza kikosi Cha pili
 
Safi sanaaa Yanga mnaonyesha nyie NI wa level gan ....

yaan CAF CL mmlishindwa ku score hata goli moja ila ktk haya mashindano ya sambusa mna score muwezavyooo nyang'au kabisaaa
 
Raundi ya tatu kombe la Azam Sports Federation kuendelea leo.

Wananchi Yanga SC wanaanza mbio za kulisaka taji hili kwa kumenyana na lhefu SC. Mechi hi itapigwa katika Dimba la Benjamin .Mkapa kuanzia saa 1:00 usiku.

Tuwe hapa Pamoja.
Huyu kitimoto wa Simba huwa anaanzishaga nyuzi za game ya Yanga na hushindwa kuweka updates.
 
Safi sanaaa Yanga mnaonyesha nyie NI wa level gan ....

yaan CAF CL mmlishindwa ku score hata goli moja ila ktk haya mashindano ya sambusa mna score muwezavyooo nyang'au kabisaaa
Unateseka ukiwa wapi?
 
Ndio level zao hizi hivyo acha wajidai, CCL kule ni kwa wanaume hawapawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…