Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
ipo ligi kuu,kwahiyo kumpiga ihefu haishangaziKwani Jkt Tanzania ipo ligi gani vile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipo ligi kuu,kwahiyo kumpiga ihefu haishangaziKwani Jkt Tanzania ipo ligi gani vile?
Yap ukitaka kumuona aucho fundi, ni kwenye mechi kama hiziZimepigwa pasi 36 before goal
Labda simba queensSimba anaanza first eleven
Nakuuliza Tena jibu swali huyu aliepiga hattrick ni kikosi Cha kwanza?Aucho, moloko, ntibayonkiza, feisal, diara, job, nk hao ni kikosi gani?
Mchezaji gani ambae jana Simba hakucheza ambae angefunga hata goli 2 kama ange anzaYap ukitaka kumuona aucho fundi, ni kwenye mechi kama hizi
Unaumia ukiwa wapi?[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]mnapiga bomu mochwari na bado mnajisifu mmeua
Ninja,Paulo godfrey,Mauya,Farid Musa,Yasin Mustafa nao ni kikosi Cha kwanza?Aucho, moloko, ntibayonkiza, feisal, diara, job, nk hao ni kikosi gani?
Kagere, Wawa, Kibu Denis,Kapombe, Kanoute, Mzamiru, ni kikosi cha pili?
😂😂😂Unaumia ukiwa wapi?[emoji16][emoji16]
Huyu kitimoto wa Simba huwa anaanzishaga nyuzi za game ya Yanga na hushindwa kuweka updates.Raundi ya tatu kombe la Azam Sports Federation kuendelea leo.
Wananchi Yanga SC wanaanza mbio za kulisaka taji hili kwa kumenyana na lhefu SC. Mechi hi itapigwa katika Dimba la Benjamin .Mkapa kuanzia saa 1:00 usiku.
Tuwe hapa Pamoja.
Unateseka ukiwa wapi?Safi sanaaa Yanga mnaonyesha nyie NI wa level gan ....
yaan CAF CL mmlishindwa ku score hata goli moja ila ktk haya mashindano ya sambusa mna score muwezavyooo nyang'au kabisaaa