LIVE: YANGA SC Vs IHEFU FC

sahihi kabisa
 
Wanaume ni wale wanaonekana robo fainali ya CCL kila msimu, zaidi ya hapo unaitwa mbahatishaji tu
Tumeonekana mara mbili mfululizo hivyo inatosha kabisa kuonekana mwanaume.
 
Mpira umekwisha, yanga akibahatisha goli nne dhidi ya kibonde, hii ndo tunaita kutupa bomu monchwari.
 
Hawa Mods sijawaelewa ,jana mechi ya Simba wameweka live kwa alama nyekundu mpaka sahizi mkeka unaonekana live ,Ila mechi ya yanga hawajaweka live nyekundu
 
Aya endelea kuteseka huko Shirikisho maana mm mwenyewe niliteseka sana 2017/18.
Utopox mnafikiria miaka mingi nyuma.... hahahahahahaahahahahahahaahahahhahahahababababababbababababababbzbzzbzbzbzbzhs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…