NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Unateseka ukiwa wapi?Ndio level zao hizi hivyo acha wajidai, CCL kule ni kwa wanaume hawapawezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unateseka ukiwa wapi?Ndio level zao hizi hivyo acha wajidai, CCL kule ni kwa wanaume hawapawezi.
sahihi kabisaYanga wali kaa karibu siku kumi bila kucheza walipo kutana na Simba kasi ya wachezaji ilikua haikosawa na ili wasaidia Sana Simba kupata sare, baada ya mechi na Simba ukiwaweka tena nje bila kucheza mechi yoyote unazidi kuiua timu. Kitaalamu lazima uwape mechi angalau dakika 60-65 ili wapate sharpness.
Nikiwa makundi ya Caf confederation cup.Unateseka ukiwa wapi?
Aya endelea kuteseka huko Shirikisho maana mm mwenyewe niliteseka sana 2017/18.Nikiwa makundi ya Caf confederation cup.
Wanaume ni wale wanaonekana robo fainali ya CCL kila msimu, zaidi ya hapo unaitwa mbahatishaji tuNdio level zao hizi hivyo acha wajidai, CCL kule ni kwa wanaume hawapawezi.
Hata Namungo aliingia huko kwenye makundi hakuna cha ajabu hapoNikiwa makundi ya Caf confederation cup.
Tumeonekana mara mbili mfululizo hivyo inatosha kabisa kuonekana mwanaume.Wanaume ni wale wanaonekana robo fainali ya CCL kila msimu, zaidi ya hapo unaitwa mbahatishaji tu
Namungo ni timu kubwa kuliko yanga kulingana na rank za CAF.Hata Namungo aliingia huko kwenye makundi hakuna cha ajabu hapo
na wanawake ni wale wanabebwa kila mwaka Ila wanaishia round ya kwanzaWanaume ni wale wanaonekana robo fainali ya CCL kila msimu, zaidi ya hapo unaitwa mbahatishaji tu
Umechagua kuteseka all the bestMpira umekwisha, yanga akibahatisha goli nne dhidi ya kibonde, hii ndo tunaita kutupa bomu monchwari.
Una matatizo ya akili ww, round hii timu za ligi kuu zinacheza na timu za daraja la kwanzaipo ligi kuu,kwahiyo kumpiga ihefu haishangazi
Acha kuotaLigi ya bongo ni kama bundesliga na yanga ni kama Dortmund, Simba ni kama Bayern, Dortmund kujipapatua kwingi ila mwishoni bingwa Bayern.
sawaUna matatizo ya akili ww, round hii timu za ligi kuu zinacheza na timu za daraja la kwanza
Utopox mnafikiria miaka mingi nyuma.... hahahahahahaahahahahahahaahahahhahahahababababababbababababababbzbzzbzbzbzbzhsAya endelea kuteseka huko Shirikisho maana mm mwenyewe niliteseka sana 2017/18.
Na wanaolichukua kombe ni wanawake sioTumeonekana mara mbili mfululizo hivyo inatosha kabisa kuonekana mwanaume.
Mpira umekwisha, yanga akibahatisha goli nne dhidi ya kibonde, hii ndo tunaita kutupa bomu monchwari.