LIVE: YANGA SC Vs IHEFU FC

LIVE: YANGA SC Vs IHEFU FC

Yanga wali kaa karibu siku kumi bila kucheza walipo kutana na Simba kasi ya wachezaji ilikua haikosawa na ili wasaidia Sana Simba kupata sare, baada ya mechi na Simba ukiwaweka tena nje bila kucheza mechi yoyote unazidi kuiua timu. Kitaalamu lazima uwape mechi angalau dakika 60-65 ili wapate sharpness.
sahihi kabisa
 
Mpira umekwisha, yanga akibahatisha goli nne dhidi ya kibonde, hii ndo tunaita kutupa bomu monchwari.
 
Hawa Mods sijawaelewa ,jana mechi ya Simba wameweka live kwa alama nyekundu mpaka sahizi mkeka unaonekana live ,Ila mechi ya yanga hawajaweka live nyekundu
 
Aya endelea kuteseka huko Shirikisho maana mm mwenyewe niliteseka sana 2017/18.
Utopox mnafikiria miaka mingi nyuma.... hahahahahahaahahahahahahaahahahhahahahababababababbababababababbzbzzbzbzbzbzhs
 
Back
Top Bottom