Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Hahahaha! Atakwendaje kwenye timu ambayo kila mtu anaikimbia?
Hahahaha! Atakwendaje kwenye timu ambayo kila mtu anaikimbia?
Kakimbia kujifunza kifaransa yule.
Hqahahahaaaa.... mambo vp Mpinzani??? Upo??? za masiku??? Back to the Topic... kama kila mtu anaikimbia unamaanisha kwa sasa hakuna Mtu hata mmoja??? Au unamaanisha nini???????
Angepata crash course ya Kifaransa kutoka kwa Wilshire na Walcott
Hongereni kwa kupata point 1 wakuu.
Kribuni jukwaani kwetu kule muone tunavyofanya mauaji.
Kiss Fabregas and Nasri bye bye, the title this season is for ManU to lose. Arsenal, hata EUROPA league this time hamtopata nafasi. Liverpool bado mna safari ndefu lakin i mna nafuu kuliko Arsenal. Chelsea shikamoo jazzband wamezidi kwa hiyo they have to forget about the title

Hao wakina Fabregas na Nasri sio tatizo, njoo uone game baadae hapo.