Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaha! Atakwendaje kwenye timu ambayo kila mtu anaikimbia?

Hqahahahaaaa.... mambo vp Mpinzani??? Upo??? za masiku??? Back to the Topic... kama kila mtu anaikimbia unamaanisha kwa sasa hakuna Mtu hata mmoja??? Au unamaanisha nini???????
 
Hqahahahaaaa.... mambo vp Mpinzani??? Upo??? za masiku??? Back to the Topic... kama kila mtu anaikimbia unamaanisha kwa sasa hakuna Mtu hata mmoja??? Au unamaanisha nini???????

Hahahahah. Safi mpinzani. Umepotea mkuu, shwari lakini?! ...........wanaobaki wote ni wale wasio na mnunuzi...lol
 
​Hizi points tunazipoteza mwanzo mwanzo ndio zitakuja kutuumiza mbele ya safari huko.......
 
Hongereni kwa kupata point 1 wakuu.

Kribuni jukwaani kwetu kule muone tunavyofanya mauaji.

Kiss Fabregas and Nasri bye bye, the title this season is for ManU to lose. Arsenal, hata EUROPA league this time hamtopata nafasi. Liverpool bado mna safari ndefu lakin i mna nafuu kuliko Arsenal. Chelsea shikamoo jazzband wamezidi kwa hiyo they have to forget about the title
 
Hao wakina Fabregas na Nasri sio tatizo, njoo uone game baadae hapo.
 
Kiss Fabregas and Nasri bye bye, the title this season is for ManU to lose. Arsenal, hata EUROPA league this time hamtopata nafasi. Liverpool bado mna safari ndefu lakin i mna nafuu kuliko Arsenal. Chelsea shikamoo jazzband wamezidi kwa hiyo they have to forget about the title

Arsenal ni zaidi ya FAB na Nasri... Yes ni wachezaji wazuri ila sio mwisho wa Maisha... Dont write us off this much early Broda....!!! Anyway who will take the title then??? QPR????? hahahahaaaaaa..... Anyway ndo ushabiki huu....!!!!
 
Duh watu wamekuja huku kama Nyuki tehtehteh haya wazee, ila liverpool imeniumiza bado sanaaaaa...

Wenger nasikia naye anapewa nafasi ya kujiunga Barcelona timu ya watoto kule Spain.
 
Seb_Larsson_12_682_1359521a.jpg

Poleni wakuu nasikia League ndio inaanza ati? Vipi Suarez .... .... ..
 
Nyie mbona kelele zimezidi?! Nendeni kule kwenye jukwaa analoishi bundi, namaanisha kule kwa watoto a.k.a Arsenal...lol
 
Dah Kweli mtu usimcheke mwenzako kabla lako hujalijuwa.. mi Arsenal ilikuja huku kibao kucheka kumbe lao linakuja ndio tunachekana ila angalau Arsenal wasiongee kabisa kwa Liverpoolfc labda wenyewe watashikilia kelele zao za chenga twawala!! Mara ya mwisho kushinda Kombe ni nyuma yetu 2005 nyie. History ndio kabisa keleleni angeongea Manshit united kidogo ningeelewa.
 
Back
Top Bottom