UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Gerrard, naskia ManCity wameingia kwenye race, wanaweza kuharibu hiyo deal
money money money................ haiingii akilini pesa anayolipwa Nasri
Waarabu wanaua soka
Limbani....... Soccer is getting crazy, kuna siku wasipoangalia EPL itacollapse
BTW, Naskia Bellamy is coming on a free transfer
Mkuu tupo. You'll never walk aloneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeKhaaa! Hii aibu sasa, yaani vijana wanafanya mauaji huko halafu wakuu hamuonekani hapa???
Hebu kwanza niangalie vizuri isije ikawa nimepotea njia!!!
Bellamy namfagilia sababu the guy has paceMie Kuhusu Man City kutowa mapesa sioni tatizo hata Man united 2002 walinunuwa Rio kwa £30m kwenye market ya miaka miwili hii ni kama 45-50 hiyo price sema uzuri wa United wao tayari wlaikuwa na timu. Chelsea nao wame Spend ila tatizo la City wananunuwa kwa fujo mie sijali mtu aki spend ila ajue vipi ana spend, na Kuhusu Bellamy mie nataka aje au aje Afellay sababu tatizo la Bellamy litakuwa maumivu yake. Cotes,Bellamy or Afellay na mwengine yoyote dogo awe.
money money money................ haiingii akilini pesa anayolipwa Nasri
Waarabu wanaua soka

Mkuu tupo. You'll never walk aloneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hawa wachezaji wapya ndio wanajuana wape kama 10 games watakuwa poa. Tukimpata yule beki muuruguay (Coates), Ibrahim Affelay na Bellamy halafu Gerrard akipona na kurudi basi timu itakuwa imeenea na the past glory days will return to Anfield again.

Dah mkuu unajua imebidi nifikiche macho maana sikutegemea hapa pawe kimya kiasi hiki wakati tunacheza... Defence imemchefua kweli Reina ile dakika ya mwisho..
Bellamy is 2000 times better than NgongoNimesikia hiyo, sijui kwa nini Daglish anamtaka Bellamy, si bora tubaki na Ngog!!

Hawa wachezaji wapya ndio wanajuana wape kama 10 games watakuwa poa. Tukimpata yule beki muuruguay (Coates), Ibrahim Affelay na Bellamy halafu Gerrard akipona na kurudi basi timu itakuwa imeenea na the past glory days will return to Anfield again.

In King Kenny we trust!!
Bellamy is 2000 times better than Ngongo
he fits into the current liverpool pace, we dont need pedestrians
today was soooooooooooooo sexy!! 3 goals, though we could have won 12 if ref was not paid by someone to ruin luis energy