Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Gerrard, naskia ManCity wameingia kwenye race, wanaweza kuharibu hiyo deal

Hao ManShite tamaa zinawasumbua na ni waharibifu wa vipaji tu. Santa Cruz, Shaun Philips, Adebayor, nk, wote wanasugua bench tu shite. Kuuza hawataki, ku-let go hawataki, bado wanataka kusajili wengine!

money money money................ haiingii akilini pesa anayolipwa Nasri

Waarabu wanaua soka

Limbani....... Soccer is getting crazy, kuna siku wasipoangalia EPL itacollapse

BTW, Naskia Bellamy is coming on a free transfer

Nimesikia hiyo, sijui kwa nini Daglish anamtaka Bellamy, si bora tubaki na Ngog!!

Mie Kuhusu Man City kutowa mapesa sioni tatizo hata Man united 2002 walinunuwa Rio kwa £30m kwenye market ya miaka miwili hii ni kama 45-50 hiyo price sema uzuri wa United wao tayari wlaikuwa na timu. Chelsea nao wame Spend ila tatizo la City wananunuwa kwa fujo mie sijali mtu aki spend ila ajue vipi ana spend, na Kuhusu Bellamy mie nataka aje au aje Afellay sababu tatizo la Bellamy litakuwa maumivu yake. Cotes,Bellamy or Afellay na mwengine yoyote dogo awe.

Khaaa! Hii aibu sasa, yaani vijana wanafanya mauaji huko halafu wakuu hamuonekani hapa???
Hebu kwanza niangalie vizuri isije ikawa nimepotea njia!!!

Mkuu tupo. You'll never walk aloneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mie Kuhusu Man City kutowa mapesa sioni tatizo hata Man united 2002 walinunuwa Rio kwa £30m kwenye market ya miaka miwili hii ni kama 45-50 hiyo price sema uzuri wa United wao tayari wlaikuwa na timu. Chelsea nao wame Spend ila tatizo la City wananunuwa kwa fujo mie sijali mtu aki spend ila ajue vipi ana spend, na Kuhusu Bellamy mie nataka aje au aje Afellay sababu tatizo la Bellamy litakuwa maumivu yake. Cotes,Bellamy or Afellay na mwengine yoyote dogo awe.
Bellamy namfagilia sababu the guy has pace

money money money................ haiingii akilini pesa anayolipwa Nasri

Waarabu wanaua soka

SG ni loyal sana na team! he is a real scouser! haondoki huyo! he will never walk alone! c'mon Liverpool!!

Dah mkuu unajua imebidi nifikiche macho maana sikutegemea hapa pawe kimya kiasi hiki wakati tunacheza... Defence imemchefua kweli Reina ile dakika ya mwisho..
Hawa wachezaji wapya ndio wanajuana wape kama 10 games watakuwa poa. Tukimpata yule beki muuruguay (Coates), Ibrahim Affelay na Bellamy halafu Gerrard akipona na kurudi basi timu itakuwa imeenea na the past glory days will return to Anfield again.
In King Kenny we trust!!

Nimesikia hiyo, sijui kwa nini Daglish anamtaka Bellamy, si bora tubaki na Ngog!!
Bellamy is 2000 times better than Ngongo

he fits into the current liverpool pace, we dont need pedestrians

today was soooooooooooooo sexy!! 3 goals, though we could have won 12 if ref was not paid by someone to ruin luis energy

Hawa wachezaji wapya ndio wanajuana wape kama 10 games watakuwa poa. Tukimpata yule beki muuruguay (Coates), Ibrahim Affelay na Bellamy halafu Gerrard akipona na kurudi basi timu itakuwa imeenea na the past glory days will return to Anfield again.

In King Kenny we trust!!

Yeah, tukiwapata hao itakuwa mwendo mdundo. Bellamy na Affelay wana pace, Coates alikuwa kwenye jukwaa ni dalili kuwa anakamilisha mambo.

Bellamy is 2000 times better than Ngongo

he fits into the current liverpool pace, we dont need pedestrians

today was soooooooooooooo sexy!! 3 goals, though we could have won 12 if ref was not paid by someone to ruin luis energy

Our team, is very versatile now, anybody can score!!

article-2030746-0D98A65800000578-94_634x500.jpg
Charlie Adam..

Tupo pamoja jana Dogo Handerson alikuwa anafanya kama Xavi wa Barca vile. ila ndio tukaze kasi iendelee tuombe player wasiumie tu.

Bi kidude ana hali Mbaya

Attachments

• wenga.jpg
wenga.jpg
31.8 KB · Views: 23
Back
Top Bottom