Liverpool oyee
Hatutembei peke yetu mkuu.Saaaafi sana....
Mmewakata "kidomodomo!"
sturidge anazd kung'aa ndan ya anfield,tutafka tu tunakotaka wakuu
Hatutembei peke yetu mkuu.
Leo nna furaha ya ajabu.
Naona safari ya kurudi enzi zetu imewadia
Tatizo wapinzani wetu Malaria imewapiga vibaya washabiki wa Man U basi hata kuja kutupa hongera hamtaki? Wacheni unazi mngeshinda mngekuja mbio na Mapicha.
Kweli usemalo Nzi katikati LFC sie ni wabovu ila utd hawakucheza vibaya sana tatizo hawakulazimisha kuingia kati sie beki zilikuwa kwenye heshima.