Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kilaza huyu ndie anayetuharibia kila siku
 
Attachments

  • 1175746_558565017542483_1760499633_n.jpg
    1175746_558565017542483_1760499633_n.jpg
    22.1 KB · Views: 121
........wake up guys!
"You will never walk alone!"
TIMING, Quemu,.....!
Where art thou buddies?
 
Last edited by a moderator:
Hata kama hawabadili chati ya msimamo wa ligi, tunaongoza kwa pointi 9! Arsenal akikomaa akatoa angalau ka-droo na huyu kiherehere Tutatota, sorry, Totenham ndo murua kabisa!!
 
Hongera kwa ushindi. Ila hii biashara ya kudominate first half kisha second half timu haichezi vema sio nzuri kabisa
Ynwa!!
 
Hatutembei peke yetu mkuu.

Leo nna furaha ya ajabu.

Naona safari ya kurudi enzi zetu imewadia

Nasikia kesho pale Merseyside kutakuwa na bus parade la Liverpool kusheherekea kuongoza ligi kwa point 9 baada ya ushindi wa goli 1 bila katika mechi 3.

Vipi utaudhuria?
 
Tatizo wapinzani wetu Malaria imewapiga vibaya washabiki wa Man U basi hata kuja kutupa hongera hamtaki? Wacheni unazi mngeshinda mngekuja mbio na Mapicha.
 
Tatizo wapinzani wetu Malaria imewapiga vibaya washabiki wa Man U basi hata kuja kutupa hongera hamtaki? Wacheni unazi mngeshinda mngekuja mbio na Mapicha.

Hongereni sana. United ilicheza hovyo sana leo. Ingawa nanyi hamkucheza vizuri sana, ila mlijitahidi kukaba aisee.
 
Kweli usemalo Nzi katikati LFC sie ni wabovu ila utd hawakucheza vibaya sana tatizo hawakulazimisha kuingia kati sie beki zilikuwa kwenye heshima.
 
Kweli usemalo Nzi katikati LFC sie ni wabovu ila utd hawakucheza vibaya sana tatizo hawakulazimisha kuingia kati sie beki zilikuwa kwenye heshima.

Heko. Kweli wewe ni mpenzi wa soka na wala siyo mnazi.
 
Hongereni wakuu kwa kuwabangua Manure naona ushoga unawachumbua. Chacha tuuzieni Sure Boy si mnae Sturturidge?

article-2407099-1B90C6CA000005DC-150_634x474.jpg

Hat-trick: Liverpool recorded their third straight league win
after beating Manchester United 1-0 at Anfield

Back
Top Bottom