haswaaaaa MKUU wamejiachia sana kuna photo za kumwaga kwenye thread za wenzetu why yetu imedoda bana ikiwezekana tunahitaji kuwekwe na picha za vikosi kipindi hicho tunanyakua makombe ya uefa na ligi fa caling camp
huku nafasi maalam ya kubandika picha ya sherehe za ubingwa 2014 ikiachwa wazi kabisaaaaaaa.
🙂🙂🙂 yataka moyo sana ila inatakiwa sasa na nyie muwe ngangari na hii sredi yenu mpaka izoeleke....
Mkifungwa, mkishinda nyie bananeni humu humu kama Belo na simu yake ya kuchaji, au Shedafa wa Tottenham Spuds maskini.... Jamaa ana moyo kweli, wenzake wote wamehama timu, wanashabikia Man City!!!!
ndetichia upo?!
#MosKwito !
Take it easy bro, it's done!
Ila tu nawaomba kitu kimoja wewe na mashabiki wenzako wapya wa Liverpool humu;
"Tunataka" muwe active members haswaaa, sio kujitoa kifua mbele Liverpool wakiwa wanashinda tu....
Hii ni moja ya thread zilizokuwa #dhaifu sana humu ndani, [kama ya wale Spurs] until recently mlipoanza dalili za kuwa top four ndio "tunaona" exodus yenu... 🙂
Mkiwa na moto huu, jukwaa la sports litanoga sana kama kina Wacha1, Ntuzu, Mentor, Balantanda, Peasant, pierre.fm . Fm Nzi, Belo, Shedafa, mfarisayo, TIMING, EMT, na wengineo wengi wanavyopeana banters za hapa na pale!
You Will Never Walk Alone 😉
Karibuni sana....

......ati?
Mabingwa 2014 ee?!!
Haya bana....
Cc; Nzi, Mentor Wacha1 Balantanda, Wandugu Masanja Belo.... Wakuu, hawa jamaa mnawasikia lakini?
Akheri yake TIMING yeye kimyaaaaaa!!!
#MosKwito !
CONFRIMED #LFC Team against Spurs: Mignolet, G. Johnson, Skrter, Agger, Flanagan, Gerrard, Henderson, Coutinho, Sterling, Strurridge, Suarez
SUBS: Jones, Allen, Aspas, Sakho, Lucas, Cissokho, Moses
#LetsDoThisReds #YNWA
Mbu hao ukiwa taja walikuwa wakipiga Kelele zamani tu hata siku hizi Belo,Wacha1 na mfarisayo nao wanakimbia wanaonekana siku ya ushindi tu na ushahidi upo usitetee uongo Balatanda,Ntuzu,Pierre.fm na Ntuzu ndio nawaona na hasa hasa Nzi ndio nampa hongera Ana moyo wa kweli na timu mtu ambaye sikutegemea atakuja kukauka ni Wacha1 sababu namuaminia jamaa ila Mfarisayo tushamzoea siku hizi hata picha mfarisayo hatutumii amepotea ila nakuhaidi Mie utazidi kuniona hata tukifungwa, Mie kitu kimoja watu wakishindwa nakuja thred zenu kuwapa pole mkishinda nawapa hongera ila nyie mnakuwa kimya kuja siku ya hongera hehehehe, Na kuhusu ubingwa sie hatupigi Kelele za ubingwa sio top 4 happy ya ubingwa ni bonus, thred waliyokuwa Kelele za ubingwa walikuwa point 9 Mbele unawajuwa ndio waliyokuwa wanasema wao mabingwa TV wameanza kutizama 96 nafikiri ndio ikapata mashabiki huku usitulaumu Thred hii yetu hii ni ya Wazee hatujui kutumia website hizi hehehe ila Mbu Tupo pamoja hatutokuangusha sababu haujatuangusha LFC YNWA! LFC 4 TOP 4.Take it easy bro, it's done!
Ila tu nawaomba kitu kimoja wewe na mashabiki wenzako wapya wa Liverpool humu;
"Tunataka" muwe active members haswaaa, sio kujitoa kifua mbele Liverpool wakiwa wanashinda tu....
Hii ni moja ya thread zilizokuwa #dhaifu sana humu ndani, [kama ya wale Spurs] until recently mlipoanza dalili za kuwa top four ndio "tunaona" exodus yenu... 🙂
Mkiwa na moto huu, jukwaa la sports litanoga sana kama kina Wacha1, Ntuzu, Mentor, Balantanda, Peasant, pierre.fm . Fm Nzi, Belo, Shedafa, mfarisayo, TIMING, EMT, na wengineo wengi wanavyopeana banters za hapa na pale!
You Will Never Walk Alone 😉
Karibuni sana....
#MosKwito !
Liverpool safari bado ndefu acheni ujinga. Igeni Arsenal tumeongoza ligi more than 85% lakini bado hali tete nyie hata usukani hamjashika mnaanza makalele. Komaeni kwanza, hamkumbuki mlivyokuwa vizuri msimu wa 2009 mkapishana point moja na Manure, mkalikosa ndoo la EPL... so safari bado ngumu subirini mshinde kwanza ndio muanze'dream come true'.
Mbu hao ukiwa taja walikuwa wakipiga Kelele zamani tu hata siku hizi Belo,Wacha1 na mfarisayo nao wanakimbia wanaonekana siku ya ushindi tu na ushahidi upo usitetee uongo Balatanda,Ntuzu,Pierre.fm na Ntuzu ndio nawaona na hasa hasa Nzi ndio nampa hongera Ana moyo wa kweli na timu mtu ambaye sikutegemea atakuja kukauka ni Wacha1 sababu namuaminia jamaa ila Mfarisayo tushamzoea siku hizi hata picha mfarisayo hatutumii amepotea ila nakuhaidi Mie utazidi kuniona hata tukifungwa, Mie kitu kimoja watu wakishindwa nakuja thred zenu kuwapa pole mkishinda nawapa hongera ila nyie mnakuwa kimya kuja siku ya hongera hehehehe, Na kuhusu ubingwa sie hatupigi Kelele za ubingwa sio top 4 happy ya ubingwa ni bonus, thred waliyokuwa Kelele za ubingwa walikuwa point 9 Mbele unawajuwa ndio waliyokuwa wanasema wao mabingwa TV wameanza kutizama 96 nafikiri ndio ikapata mashabiki huku usitulaumu Thred hii yetu hii ni ya Wazee hatujui kutumia website hizi hehehe ila Mbu Tupo pamoja hatutokuangusha sababu haujatuangusha LFC YNWA! LFC 4 TOP 4.
Hakuna aliyepiga Kelele sie tunafurahi ukitegemea tulipotoka sasa sijui nyie na sie nani ndio alikuwa Ana scream for orgasms yakuwa wao mabingwa?Liverpool safari bado ndefu acheni ujinga. Igeni Arsenal tumeongoza ligi more than 85% lakini bado hali tete nyie hata usukani hamjashika mnaanza makalele. Komaeni kwanza, hamkumbuki mlivyokuwa vizuri msimu wa 2009 mkapishana point moja na Manure, mkalikosa ndoo la EPL... so safari bado ngumu subirini mshinde kwanza ndio muanze'dream come true'.
Liverpool safari bado ndefu acheni ujinga. Igeni Arsenal tumeongoza ligi more than 85% lakini bado hali tete nyie hata usukani hamjashika mnaanza makalele. Komaeni kwanza, hamkumbuki mlivyokuwa vizuri msimu wa 2009 mkapishana point moja na Manure, mkalikosa ndoo la EPL... so safari bado ngumu subirini mshinde kwanza ndio muanze'dream come true'.
tizama vizuri alafu utaona nimeadimika kivipi kila siku nipo Mie hapa siji mitaa yenu sababu hamjui kutoa pongezi za ushindi kila siku tunawapa sie nyie roho haziwapi hata kuja hongereni mnashindwa. Mie nipo na nitakuwepo na Leo nitakuwepo.
alikuwa Rafael Benitez alileta Champions League lipo pale Anfield moja kwa moja.#hawakumbuki hawa,....!
Sidhani hata kama wanakumbuka nani alikuwa manager wao kabla ya Brendan Rogers 😉
#MosKwito !
Siku nikiwa comfortable hivi huwa tunafungwa! God forbid! YNWA.