Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game yetu na Man city ndio naweza nikajipa uhakika wa kombe.Ila kwa sasa,naipongeza timu kwa kusaka point tatu kwa udi na uvumba.

"Nlikuwepo":bolt:

Naunga hoja mkuu! Leage bado ngumu! Tujifunze kwa Arsenal.
 
Yaani leo nimefurahi sana...sana...sana!
Kama unaweza mkuu tupia mapicha mengi kadri ya kiu yetu...LiverpoolFC hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee....

Am extremely happy... Nhobwike fijho!
YNWA...!
 
Last edited by a moderator:
Hawa waache..mimi tangia nimezaliwa Liverpool haijawahi chukua ubingwa..alafu wanasema eti tuna kelele?

well, sasa kelele watapiga nani? si sisi mashabiki.

Everybody knows we deserve this trophy.

Kwa kweli sijui wanatakaje! Tangu nijue timu za majuu sijawahi shabikia tofauti na Liverpool Football Club.
Nenda Liverpool Fc chanja mbuga!

Natamani hii mechi ya tar 13 march iwe ndiyo ya kuwaadabisha hawa wajinga.
Lazima tufurahie ushindi!
 
Inaelekea ligi ya mwaka huu inaweza kuwa substituting Manchester United for Liverpool. Anyway, nawaombea mlichukuwe kuliko Sugar daddy running teams. Na SG amalize career akiwa na medal, uloyal wake uzae matunda.
 
Hahahaha, ati "tuachieni chama letu!" 🙂

Mkuu, hawa jamaa wamenisumbua sana niongezee manjonjo kwenye hii sredi eti na picha niwawekee khaa!?

Haya bana, TIMING bado ka mute?!
YNWA

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Nina uhakika WestHam tunamfunga,ila na Man city itakuwa ngumu kidogo.Ila kwakuwa tunacheza home,lazima tuforce ushindi.

"Nlikuwepo":bolt:

Ukumbuke kbs ya kwmb ushindi ule wa Man Cty walibebwa kabisa!
Watajuta kuja Anfield.
Raheem Sterling hatawaacha!
 
Haya kaka kila la heri mwaka huu na nyie mtoke
 
Inaelekea ligi ya mwaka huu inaweza kuwa substituting Manchester United for Liverpool. Anyway, nawaombea mlichukuwe kuliko Sugar daddy running teams. Na SG amalize career akiwa na medal, uloyal wake uzae matunda.

Dah timu yako hauiombei ichukue kombe?

Mbona mnataka kukata tamaa mapewa wakati mna uwezo wa kushinda ligi
 
"If your not cheering when we're losing, don't cheer us when we're winning." - Bill Shankly
 
Haya kaka kila la heri mwaka huu na nyie mtoke

Mkuu sisi hatuna chetu hapa. Itachukuwa miujiza ya Mtu kubadilika chatu kwa hizo timu tatu kupoteza ponts walizotuzidi. Juzi tulishindwa kumfunga Swansea ndo tutaweza kubeba EPL? Nachoomba ni kubeba FA cup(tuna mtihani mkubwa kumfunga Wigan) afu tujenge timu msimu ujao. Arsenal ajabu sana kila tunapokuwa na chance ya nzuri ya kugombania/kubeba kombe ndo tunakuwa majeruhi mengi kuliko msimu tunaokuwa magarasa tangu mwanzo. Kama vile tuna mamluki ktk treatment team.
 
DonDonald

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…