Sherrif
Tumeshajizoelea maumivu toka 1990!
Kelele zitoke wapi?
Hatujali kama timu yetu imekaa na itaendelea kukaa museum for the next 30 years. Once a kop always a kop.
Wengine maumivu ya mwaka, miaka 7 yanawatesa.
Hapo ukizingatia sisi ni maskini na pesa hatuna wengine mpaka mmwage mapesa ama muwa-intimidate marefa ndio mshinde.
Plastic fans ndio mna matatizo. Tumeshajizoelea maumivu since 1990 na tutaendelea kuyazoea hata kama ni miaka 100 ijayo. Tuachieni chama letu. We know iko siku the old days of glory will once again come back to Anfield.
Sherrif Arpaio.....a long time proud Kop!
Ynwa