Inaweza ikawa kweli..ila mchango wa Messi ni mkubwa kuliko Gerrard katika national team, hata kama Messi hana mchango mkubwa sana kwenye timu yake..
Ebu msome SAF kwenye autobio yake ili umwelewe kwanini hamwoni Gerrard hata na Lampard kama siyo world class...
kwahiyo yellow ya kwanza kwa suarez ni sahihi? acha kuwa na mahaba ya kishetani wewe!
Dah..kwa kweli nimeshangaa sana, watu wanaosema Gerrard siyo World class player!!!!!
Seriously????!!!!
Usibishane na watu wanazi unazi siku zote wao hongera hawataki kazi kubadilisha mada mbona sie tu nasema Paul Scholes world class na International alikuwa mbovu? Siku zote tukishinda hawatoi pong enzi hubadilisha mada ili kuwe naubishano tushawazoea akiongea Mwambie ndio arizike basi LFC YNWA!
Kama ilivyokuwa miaka yote ya mzee Ferguson sasa ni zamu yetu. Labda babu arudi kutoka retirementKamuulize refa pale Liverpool..sasa atakuwa ameshaoga na yupo tayari kwa kuulizwa na waandishi wa habari...
Mwaka huu referees' decisions zimekuwa upande wenu sana, bisha, ukatae ama ukubali, huo ndio ukweli..
Whether tuna top class ama world class players it really doesn't matter. What matter is a win. Period.Is a top player lakini hajafikia kuwa World Class player...World class player ni Habari nyingine aisee...mnae Suarez basi
Man city....It is Only Vicent,Yaya,Silva and Aguero....waliobakia ni Top class Players
Falcao? Toure, Aguero, Silva?
Wapi nimesema Dzeko ni world class? Yeye ni squad player muhimu sana! Anaongeza squad depth, kitu ambayo loserfools hamna kwa sasa. Squad depth ndiyo iliyowapa ubingwa Chelsea na Maureen na City na Mancini!
Eti Ibra kamaliza mpira wake? The guy is banging goals like crazy, in UCL, national team etc.
Is a top player lakini hajafikia kuwa World Class player...World class player ni Habari nyingine aisee...mnae Suarez basi
Man city....It is Only Vicent,Yaya,Silva and Aguero....waliobakia ni Top class Players
Kamuulize refa pale Liverpool..sasa atakuwa ameshaoga na yupo tayari kwa kuulizwa na waandishi wa habari...
Mwaka huu referees' decisions zimekuwa upande wenu sana, bisha, ukatae ama ukubali, huo ndio ukweli..
Wewe nani? Unamiliki JF? Kasage chupa ule huko #MburukengeOrijinowewe
Na ulisoma vizuri bio ya Gerrard, kuna sehem anasema SAF alishawah kutaka kumsajili lakini Gerrard Akamtolea Nje...
Afu kitu kingne SAF mpinzan wa Liverpool kwa kila Kitu..
Mbona hata SAF alisema alitamani sana kumsajili Gerrard mwaka 2004, Gerrard alipoonyesha kama anataka kuondoka..lakini hiyo haimaanishi yeye ni world class...anaweza akawa squad player..
Ebu soma maoni hapa:
http://www.theroar.com.au/2013/10/24/was-fergie-right-about-gerrard-and-lampard/
Mbona MATA aliopt kwenda PSG kwenye usajili wa Last summer, lakin january akaja kwenu Man U??!
Mbona Ozil, aliopt kwenda PSG akaja Arsenal???
Ndo kama sahv huwez kumpeleka mtu kama Oscar, Januzaj, Kroos, Sterling, Coutinho PSG, ikiwa kuna team kama Bayern, Barca, Madrid, Arsenal, Liverpool, Man U au hata Dortmund...
Ile ambayo ungemchukua wewe cabaye ni ndogo zaid kuliko ile ambayo wameitumia PSG, au hela ambayo ulyoitumia wewe kwa MATA, PSG wangetumia hela nying sana kumkonvis kwenda kwao
Young wanapenda league zenye ushindani,
France ni league ambayo Giroud aliongoza kwa magoal, Gervinho alitamba, Joe cole alishine na lile..
Your point?!?