Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Zile Flanna sio official hata Man united walivyokosa ubingwa kwa City kumbuka wao walichapisha official zile za LFC mtu Irish kajaribu kutengeneza pesa weka kitu official!

Thibitisha kama za United zilikuwa official...

Jose amempa somo Rodgers leo,system yake ilifail kabisa wachezaji wakawa wanacheza wanavyojua wenyewe, Gerrard kama kawaida yake amewapa watu zawadi Leo kocha alipaswa kumtoa
YNWA

Walk home
Walk home
With no points in the bag
You will never win the league
You will never win the league
Walk home
Walk home.
#Loserfools

Ntuzu hongera sana,tulihitaji kushinda ila ile formation yenu ya 9-0-1 inafanya kazi kisawa sawa!
Gerrard kafanya makosa na Ba kayatumia ipasavyo.Ila yote kwa yote ni kuwa Chelsea kashinda na sisi bado tupo on top kwa tofauti ya point mbili dhidi ya Chelsea.

Wana liverpool wenzangu msikate tamaa sana kwani tangu mwanzo tulishaambiana kuwa kuchukua ubingwa itakuwa ni kama zawadi kwa kuyafikia malengo yetu tuliyojiwekea msimu huu.
Kitu kibaya kwa sasa ni kuwa ubingwa wetu upo mikononi mwa man city na everton huku ubingwa kwa chelsea ukiwa mikononi mwa liverpool,man city na everton.

Hongereni sana Chelsea,mechi yetu inayofuata ni dhidi ya Cardif City.Hii ya leo imepita kama zilivyopita zingine.

"Nlikuwepo":bolt:

Last edited by a moderator:
Yah Huyu kaleta gundu ila hizi si za club united ilikuwa club wamechapisha , ligi ngumu Mie ni katika wachache nilitambua LFC Haiwezi kutoa ubingwa labda washinde na Chelsea na kumbuka kila timu safari hii walioshika nafasi ya kwanza walijitangaza bingwa ni City na LFC waliokaa juu kwa point chache kuna timu zimekaa kwa point 9 na zilimzidi LFC kwa Point 12 so LFC Kuwepo hapo hakuna aliyetegemea na hakuna sababu za Wenzetu wanatimu kubwa au kuumia kila timu inaumia muhimu mliosajili so kuumia wachezaji ni sababu mbovu tunakosa ubingwa sababu hatukuwa na mazoea ya Kuwa hapa kipindi hiki cha April - May Wenzetu wamepitia hizi Presha so kwetu ni mafunzo mazuri ni kuzisifu tu City na Chelsea waliobakia watizame nao Yao sio kuongelea timu ipo juu yako jiulize yako ipo wapi? LFC bado pale pale hata wasipobeba imefanya vizuri hakuna aliyetegemea iwe hapo LFC YNWA!

Timu imejitahidi sana...wachambuzi hata hawakuwaza kama itakuwa inagombania kombe.

Ila nahisi msipochukua mwaka huu, itakuwa a big disappointment kwa kocha na timu...na inaweza kuwachukua miaka tena kuweza kugombania kombe...

Ila heri yenu mtakuwa UCL next season.

I feel sorry for Gerrard...I hate Loserfools, but Stevie needs a proper sendoff by lifting the EPL title...

I feel sorry for Gerrard...I hate Loserfools, but Stevie needs a proper sendoff by lifting the EPL title...

But he was the man of the match anyway.

Better Man City wins it kitaa kutatulia.

They won a couple of games and ghafla they thought they were playing in Bundesliga

Bado wana nafasi ya kuchukua kombe anyway.

If Man City "slips" like Gerrad did, Liverpool could win it.

This is the Premiership where there is a lot of "slips".

Jose amempa somo Rodgers leo,system yake ilifail kabisa wachezaji wakawa wanacheza wanavyojua wenyewe, Gerrard kama kawaida yake amewapa watu zawadi Leo kocha alipaswa kumtoa
YNWA
Napingana na Hilo kosa like ni la Sakho angeunyanyua Mbele isingetokea SG zaidi ya kuteleza hakucheza vibaya Kabisa yeye na. Coutinho ndio waliocheza vizuri ni Chelsea kuelewa wapi pakuziba ni winger kukimbiza wing so Chelsea ndio waliweka kazi nzuri Rogers alicho fail sio kumtoa SG ni system kuibadili angewambia players wapunguze Pasi wapige cross za katikati Lucas ndio aliofanya mpira Kuwa mbovu slow Hana energy wakusifiwa ni Morinho kwa Mikel,Matic na lampard sababu SG kuteleza si Kuwa ndio alikuwa atolewe kila walichojaribu LFC ni sawa ubovu aliofanya Rogers baada kutoa Lucas kamsukuma Raheem pembeni kushoto na si katikati baada Lucas kutolewa Morinho aliweka willian Ana keep mpira SG kati yupo na Usoni Mikel ,Matic na. Lampard, SG anazuia na. Coutinho anatafuta watu bila kuwapata na. Cole alimuweka Johnson mfukoni so LFC mbio na Pasi za haraka hazikuwepo hawakucheza vibaya ila mpira waliocheza mpira unaonekana wapi unataka kwenda so kwa Chelsea ilikuwa zuia mpe number 9 so Chelsea ni wakupongezwa LFC ni Bora wangejifunza kupaki Bus vizuri Chelsea ndio tofauti ya Kuwa na manager na baaazi ya player waliopitia muda wa Presha siku za April-May. Kama lampard na Cole na manager wao.

Well!Football ni mchezo wa kutumia makosa.Tumefanya makosa wametumia makosa wametufunga.Kosa la Gerad ndilo lilimaliza mchezo.

Bingwa anayestahili ni yule anayefanya makosa machache.Ubingwa ulikuwa mikononi mwetu na sasa haupo tena.Hata tukipata points zote 6 kwenye mechi za mwisho bado goal difference yetu ni ndogo ukilinganisha na city.Tumezidiwa goal difference ya 8 mpaka sasa kwa gem yao inayoendelea.Inaweza kufika 10 au hata na zaidi mpaka gem hii iishe.So ubingwa ni kazi sana kwa kutegemea goal difference na city,ni kama vile haiwezekani.

Labda city apoteze au apate droo kitu ambacho na sisi pia hatuna uhakika wa kushnda mechi zote.So kwenye gem zilizobaki we have equal chances!

Otherwise leo ndo ilikuwa mwisho wa 11 successive wins.Mwisho pia wa kusema "tangu mwaka uanze hatujapoteza mechi"!

YWNWA 4rever....!

I feel sorry for Gerrard...I hate Loserfools, but Stevie needs a proper sendoff by lifting the EPL title...

He will lift it msimu huu...all we need ni kushinda gemu zote zilizobaki kwa idadi kubwa ya magoli.

City akitoa hata droo moja tu...mwali wetu!
Am very positive!

Jose amempa somo Rodgers leo,system yake ilifail kabisa wachezaji wakawa wanacheza wanavyojua wenyewe, Gerrard kama kawaida yake amewapa watu zawadi Leo kocha alipaswa kumtoa
YNWA

Hii gemu imeniuma sana asa iv kichwa kinauma ngoja nigonge action nipoze kidogo!

He will lift it msimu huu...all we need ni kushinda gemu zote zilizobaki kwa idadi kubwa ya magoli.

City akitoa hata droo moja tu...mwali wetu!
Am very positive!

Game ijayo itakuwa ngumu sana kwenu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…