Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Mkaanga sumu, naona umepiga kambi sana leo huku!!
Upo nafasi ya ngapi kwenye PL??
Nipo nafasi ya 1,000,000,000-999,999,993.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkaanga sumu, naona umepiga kambi sana leo huku!!
Upo nafasi ya ngapi kwenye PL??
Zile Flanna sio official hata Man united walivyokosa ubingwa kwa City kumbuka wao walichapisha official zile za LFC mtu Irish kajaribu kutengeneza pesa weka kitu official!
Can the buyers claim their money back?
Yah Huyu kaleta gundu ila hizi si za club united ilikuwa club wamechapisha , ligi ngumu Mie ni katika wachache nilitambua LFC Haiwezi kutoa ubingwa labda washinde na Chelsea na kumbuka kila timu safari hii walioshika nafasi ya kwanza walijitangaza bingwa ni City na LFC waliokaa juu kwa point chache kuna timu zimekaa kwa point 9 na zilimzidi LFC kwa Point 12 so LFC Kuwepo hapo hakuna aliyetegemea na hakuna sababu za Wenzetu wanatimu kubwa au kuumia kila timu inaumia muhimu mliosajili so kuumia wachezaji ni sababu mbovu tunakosa ubingwa sababu hatukuwa na mazoea ya Kuwa hapa kipindi hiki cha April - May Wenzetu wamepitia hizi Presha so kwetu ni mafunzo mazuri ni kuzisifu tu City na Chelsea waliobakia watizame nao Yao sio kuongelea timu ipo juu yako jiulize yako ipo wapi? LFC bado pale pale hata wasipobeba imefanya vizuri hakuna aliyetegemea iwe hapo LFC YNWA!Huyu ndiyo kaleta gunduView attachment 154281
Yah Huyu kaleta gundu ila hizi si za club united ilikuwa club wamechapisha , ligi ngumu Mie ni katika wachache nilitambua LFC Haiwezi kutoa ubingwa labda washinde na Chelsea na kumbuka kila timu safari hii walioshika nafasi ya kwanza walijitangaza bingwa ni City na LFC waliokaa juu kwa point chache kuna timu zimekaa kwa point 9 na zilimzidi LFC kwa Point 12 so LFC Kuwepo hapo hakuna aliyetegemea na hakuna sababu za Wenzetu wanatimu kubwa au kuumia kila timu inaumia muhimu mliosajili so kuumia wachezaji ni sababu mbovu tunakosa ubingwa sababu hatukuwa na mazoea ya Kuwa hapa kipindi hiki cha April - May Wenzetu wamepitia hizi Presha so kwetu ni mafunzo mazuri ni kuzisifu tu City na Chelsea waliobakia watizame nao Yao sio kuongelea timu ipo juu yako jiulize yako ipo wapi? LFC bado pale pale hata wasipobeba imefanya vizuri hakuna aliyetegemea iwe hapo LFC YNWA!
una uhakika sisi tutashinda kwa c.palace?
I feel sorry for Gerrard...I hate Loserfools, but Stevie needs a proper sendoff by lifting the EPL title...
una uhakika sisi tutashinda kwa c.palace?
Napingana na Hilo kosa like ni la Sakho angeunyanyua Mbele isingetokea SG zaidi ya kuteleza hakucheza vibaya Kabisa yeye na. Coutinho ndio waliocheza vizuri ni Chelsea kuelewa wapi pakuziba ni winger kukimbiza wing so Chelsea ndio waliweka kazi nzuri Rogers alicho fail sio kumtoa SG ni system kuibadili angewambia players wapunguze Pasi wapige cross za katikati Lucas ndio aliofanya mpira Kuwa mbovu slow Hana energy wakusifiwa ni Morinho kwa Mikel,Matic na lampard sababu SG kuteleza si Kuwa ndio alikuwa atolewe kila walichojaribu LFC ni sawa ubovu aliofanya Rogers baada kutoa Lucas kamsukuma Raheem pembeni kushoto na si katikati baada Lucas kutolewa Morinho aliweka willian Ana keep mpira SG kati yupo na Usoni Mikel ,Matic na. Lampard, SG anazuia na. Coutinho anatafuta watu bila kuwapata na. Cole alimuweka Johnson mfukoni so LFC mbio na Pasi za haraka hazikuwepo hawakucheza vibaya ila mpira waliocheza mpira unaonekana wapi unataka kwenda so kwa Chelsea ilikuwa zuia mpe number 9 so Chelsea ni wakupongezwa LFC ni Bora wangejifunza kupaki Bus vizuri Chelsea ndio tofauti ya Kuwa na manager na baaazi ya player waliopitia muda wa Presha siku za April-May. Kama lampard na Cole na manager wao.Jose amempa somo Rodgers leo,system yake ilifail kabisa wachezaji wakawa wanacheza wanavyojua wenyewe, Gerrard kama kawaida yake amewapa watu zawadi Leo kocha alipaswa kumtoa
YNWA
I feel sorry for Gerrard...I hate Loserfools, but Stevie needs a proper sendoff by lifting the EPL title...
Jose amempa somo Rodgers leo,system yake ilifail kabisa wachezaji wakawa wanacheza wanavyojua wenyewe, Gerrard kama kawaida yake amewapa watu zawadi Leo kocha alipaswa kumtoa
YNWA
He will lift it msimu huu...all we need ni kushinda gemu zote zilizobaki kwa idadi kubwa ya magoli.
City akitoa hata droo moja tu...mwali wetu!
Am very positive!