Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Hawa C.Palace wanacheza tu hawana la kupoteza, wako stress free
Ngumu sana 3-2 now
ubingwa baibai luzaful
Goli 8 ziko wp?
Goli 8 ziko wp?
masikhara hayaUbingwa ni mgumu sana lolote laweza kutokea hata Chelsea anaweza kuwa bingwa
Tayari tumelizwa! Ubao sasa ni 2-3. She.nzy yeti!
3-3 all but over