Da tukilipata lalana..mwakani lazima tunyanyue makwapa.
Nilikwambia mpira wa siku hizi ni pesa i hope now utakubali kuwa £ mil 27 kwa Shaw sio nyingi
Mbona Rodgers hafanyi jitihada za kupata mabeki?????? Yaani mtu kama Glen Johnson mimi nafikiri anapaswa kuwa backup maana hana kitu kwa sasa?????
hiyo pesa tunamnunua Pedro kbs jamaa! Waingereza wana bei halafu hawana walijualo!
We've bid £16m for Alberto Moreno (Left Back), na kuna rumours za kumsajili Dejan Lovren (Centre-back)..
ha ha ha ha! Mkuu badilisha hiyo ID,huyo jamaa ni msaliti.
Sawa mkuu lakn huyo Moreno si nasikia Liverpool haiwezi kumsajili becoz of wage demands.???? Huyo Lovren wa timu gani kwani?????
RICKIE LAMBERT!!
Naona wengi hatujaridhishwa na usajili wa Rickie na hata wengine tumeanza kujiuliza What happened to Brendan philosophy?
Baada ya kukaa kwa muda na kutafakari maoni mbalimbali nimeanza kupata MWANGA na huenda mambo haya matatu yanaweza yakawa ni sababu ya usajili wa rick
Third Choice
Ni ukweli usiopingika kwamba Liverpool got a thin squad compare to the other top 3-4 teams. Alipokosekana lui kutokana na kufungiwa danny ilibidi abebe mzigo wa kuwa mfungaji pekee. Alipokosena danny sababu ya majeruhi, lui had to carry the task pamoja na kwamba aspas na borini ni usajili wa BR lakini I got the feelings that, BR anamwamini Rickie above the two. Kwa mchezaji yeyote kuitwa third choice striker for Liverpool, it means ni kuwa msaidizi wa SAS. Not every one will be comfortable for that...especially remmy! But rick, will do that sababu ya mapenzi yake kwa Liverpool but also he might get an opportunity to set a foot in Champions league which is every footballers dream! Let us be honest, each one of us will choose rickie over aspas and borini
Plan B
SAS are deadly but rickie got something with neither of the two posses. Spesho mouth alipopanga basi mbili, Liverpool waliendelea na plan ileile waliyokua nayo ya attacking through the middle which was not successful. But heh what else could BR do? Mara nyingine inakuwa ngumu kubadilisha mfumo wa uchezaji kutokana na aina ya wachezaji uliyonao. Kuna wakati walijaribu kupiga cross but was useless when you do long balls to SAS while they are surrounded by the likes of cahil and terry. Rickie has height and strength which will be useful when BR decided to combine tik-taka and long balls. Hes got the eye to the goal and he can strike the ball real hard with accuracy. Nyongeza zaidi, ni uwezo wake wa kupiga penalt which is 100% (Better than stivie). Brilliant with dead balls as well
Lallana
Imeonekana, Liverpool wanamuhitaji Lallana na kufikia kutoa dau la pound20m. Lakini taarifa zinasema kwamba south wanataka pound25m. Kamchezo kako hivi (sina hakika kama ni kweli). Bournemouth, timu iliyomuuza Lallana kwa south wako kwenye makataba wa kupata 25% ya mauzo ya lalla. South wamepandishs bei ya Lalla ili 25% itakapotoka na wao wabakie na mshiko mkubwa. Kinachofanyika sasa kama south watakubali kumuuza lalla kwa dau la p20m, then the other p5m ambayo south waliitaka kwa lalla itaongezwa kwa rick. So instead ya kumnunua rickie kwa p4m, atakuwa amenunuliwa kwa p9m. Bour watapata 25% kwenye p20m ya lalla ambayo ni kidogo ukilinganisha na kama lalla angeuzwa p25m.
Hapo Southampton watakuwa wamepata p29m na Liverpool watakuwa wamepata wachezaji wawili.
SO ITS KIND OF WIN WIN SITUATION!!
Yaani tukimpata lalana,can,beki mmoja wa kati na moreno.tunaweza kufunga usajili kwa mwaka huu.
Emre Can ndo anasumbua kwenye Wage demands, Siyo Alberto moreno, Kwa Moreno tushabid Tayari, Na ni likely deal itaenda Vizuri..Lovren ni RCB wa Southampton!!!
Kuhusu ishu ya Lambert baada ya rumours zake za kuja LFC kusambaa sana, watu ndo wakaanza kuleta hizo calculation kama ulivyozileta hapo, which ni kitu kilichoonekana ni possible, Lakini baada ya deal ya RL kukamilika, na Liverpool ku-Up their bid mpaka £25m kwa AL, hizo calculations zinakuwa void kabisa! coz imeshaonekana ni deals tofauti kabisa!!
Bournemouth, watapata 25% ya hela za usajili wa Lallana popote pale atakapouzwa, Ambayo ni kama £5m to £6m, na southampton wanataka kupata faida kubwa, so kwa sasa Southampton wanataka kubakiwa na £20m kamili, baada ya makato ya Bournermouth, na ndo maana Liverpool wamepeleka bid ya £25mill, coz £5m znaenda Bournermouth na £20m zinaenda southamption..Na hii ni TAKE IT or LEAVE IT bid..na sidhani kama wataikataa!!!
Liverpool walishikilia kwenye offer ya £20m kwa kipindi kirefu hata baada ya tetesi kwamba Man U na Totten wanamnyemelea lakini bado Liverpool hawakuonekana hakufanya any improvement on the offer. But now they have increase to £25m (According to different sources).
Livepool is a reputable club and wameona (This is may be). Kama deal ingeenda kama watu walivyooanza speculations kwamba Bouen wamefanyiwa kamchezo then, wangekuwa wamelipa matope jina la Liverpool na sasa ili kuondokana na hilo wameamua kuwapa South wanachoelekea kukihitaji
Ingawa bado kuna watu wanahoji uhalali wa Lalla kupewa £25m. Kuna wanaosema Liverpool are desperate na wengine wanasema BR is talking a gamble
Nimekupata mkuu ila BR anakosea sana kuanza kuhangaika na ka Lambert wakati tuna FABIO BORINI ambaye nina uhakika 100% atafanya vizuri msimu ujao baada ya kutoka Sunderland.
Aidha we have also ASSAID ambaye vile vile ni Hazina kubwa sana kwa Liverpool.
Jana nimeangalia magoli yote 50 ambayo LFC wameconced ni wazi kwamba BR alitakiwa kufanya reshuffle kwenye Backline with the exception of MIGNOLET.
Ni ukweli uliowazi kuwa Lallana hana thamani ya £25m, Kwanini wasingeachana naye??..kuna options kibao ambazo ni nzuri zaid ya Lallana na ni cheaper, kina Shaqiri na kina Pedro!!..
£25m nyingi sana Aisee..japokuwa hatuzitoi siye!!!
Ni ukweli uliowazi kuwa Lallana hana thamani ya £25m, Kwanini wasingeachana naye??..kuna options kibao ambazo ni nzuri zaid ya Lallana na ni cheaper, kina Shaqiri na kina Pedro!!..
£25m nyingi sana Aisee..japokuwa hatuzitoi siye!!!
Inaonekana BR anataka kukimbizana na usajili kabla ya WC, labda kwa kuhofia wachezaji kupanda dau. But still hiyo haiwezi kuwa sababu ya kutosha to spend that much to Adam.
Wachezaji uliowataja shaqiri and Pedro can offer more than him, especially Pedro. But Im still worried kama barca watamwachia na hata kama watafanya hivyo then Im not sure if Liverpool can out muscled the teams like Man U and Chelsea
Wasiwasi wangu kwa Lalana ni kwamba kaibuka juzi kati tu na ana miaka 26,na alikuwepo hapohapo soton for 14 yrs hatukumsikia! Yanaweza kutokea yale ya karoli.!
Inaonekana BR anataka kukimbizana na usajili kabla ya WC, labda kwa kuhofia wachezaji kupanda dau. But still hiyo haiwezi kuwa sababu ya kutosha to spend that much to Adam.
Wachezaji uliowataja shaqiri and Pedro can offer more than him, especially Pedro. But Im still worried kama barca watamwachia na hata kama watafanya hivyo then Im not sure if Liverpool can out muscled the teams like Man U and Chelsea