Kuhusu ishu ya Lambert baada ya rumours zake za kuja LFC kusambaa sana, watu ndo wakaanza kuleta hizo calculation kama ulivyozileta hapo, which ni kitu kilichoonekana ni possible, Lakini baada ya deal ya RL kukamilika, na Liverpool ku-Up their bid mpaka £25m kwa AL, hizo calculations zinakuwa void kabisa! coz imeshaonekana ni deals tofauti kabisa!!
Bournemouth, watapata 25% ya hela za usajili wa Lallana popote pale atakapouzwa, Ambayo ni kama £5m to £6m, na southampton wanataka kupata faida kubwa, so kwa sasa Southampton wanataka kubakiwa na £20m kamili, baada ya makato ya Bournermouth, na ndo maana Liverpool wamepeleka bid ya £25mill, coz £5m znaenda Bournermouth na £20m zinaenda southamption..Na hii ni TAKE IT or LEAVE IT bid..na sidhani kama wataikataa!!!