Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tabia za Media England pia zitasababisha wachezaji wengi kuondoka hapa C Ronaldo alikuwa good boy United na alikuwa anachukiwa angekuwa Bad Boy ndio angechukiwa kuliko Suarez na Media tizama Spain Costa kila siku na Pepe wanaye meana mate wanapigana vipepsi bila Kuwa na mpira refa asipoona sheria Kule hufungiwi sasa Diego Costa si anakuja English League subiri afanye zile tabia anafanya Spain uone Media zitavyoandika na watu Social Media watavyokuza habari wa timu zengine ili apigwe ban na Morinho atavyokuwa anatetea ndio Football ilivyo. Sheria siku hizi kuna Camera nimeona game nyingi mtu anakaa pembeni ya mtoto ananyoosha kidole cha kati kwa Player mshabiki Huyo Huyo utamkuta anasema watu Kama Suarez Na Cantona Hawafai wanafundisha watoto tabia mbaya mashabiki nao wafungiwe.
 
FIFA wapumbavu...wamemfungia sawa why,asiruhusiwe mazoezi?why Liverpool plans zivurugike sababu ya kosa timu ya taifa?Suarez,anahitaji pia msaada wa kisaikolojia...atafutiwe daktari

Nafikiri Liverpool walichukulia kwa uzito unaostahili ishu ya psychology kwa wachezaji pale walipoamua kumchukua Dr. Steve Peters. Lui ameweza kuwa na tabia nzuri kwa msimu wa 12/13 na ninafikiri imechangiwa na kazi nzuri ya dr. peters.

Siyo Lui pekee bali tunafahamu dogo sterling ni mtukutu lakini hata na yeye ameweza kukiri kwenye moja ya mahojiano kwamba dr. peters amemsaidi kwa kiwango kikubwa…

Probably Uruguay as well walihitajika kuwa na the same approach
 
Fifa wanajua suarez ni threat kwa wachezaji wao wapenzi,messi na ronaldo,hata kma alifanya kosa bt punnishnment aiendani kabsa na kosa..ni kma vile kaua mtu bwana.

If that is the intention then they have to know kwamba kipaji hakiwezi kuhuishwa...the is no doubt that he is the best for the season 13/14
 
Hongereni Lallana kifaa sana, mwakani sioni wa kuwasimamisha ngoja tuangalie na usajili wa timu nyingine za juu, vinginevyo ni L'pool all the way. Suarez naye adhabu yake inaweza kupunguzwa na kuwa miezi miwili tu hivyo Sept atakuwa ndani ya mjengo akifanya vitu vyake.
 

Maneno yaliyomtoka prezidaa yaliwashtua hata waandishi akabidi wamuulize mara mbilimbili...vipi mkuu, tuandike kama ulivyotamka..?
 
Last edited by a moderator:

Kwa kiasi Fulani naona Liverpool wanalishughulikia vizuri swala la psychology kwa wachezaji wao through dr. peters.

Well, sijasikia any official news kwamba Liverpool wameamua kumuuza kwa Barca.

…while kuomba radhi ni kitendo cha kiungwana ingawa kama kawaida kuna watu wanakosoa statement yake…
 

Wazungu (…among them British) wamekuwa wakijitetea kwamba they’re standing for justice na ndiyo maana wanayaandika wanayoyaandika juu ya Lui.
Waandishi wanasema kama wao wanamchukia mbona wamempa kura zao na kumzawadia FWA footballer of the year award and leave out their nation’s captain?
 
Last edited by a moderator:

kweli aisee.
 
haya maneno yana ukweli ndani yake
Tony Barrett anasema
Barcelona praise Suarez for his apology. If you can't see the game that's being played now you never will.
 
more update on Suarez saga
Tony Barrett - A Barcelona delegation will arrive in London today (02/07/14) to open talks with Liverpool over the proposed transfer of Luis Suarez.
 
wakuu yametimia! According to Liverpool ECHO,LFC have opened talks with Barca over a transfer of L.S! Wanatarajia kukutana jumatano jijini London kwa ajili ya kudiscuss deal na kuna posibility kubwa ya Sanchez kuwa part ya deal! Aione osokonoi The Boss MosDef Pazi Janjaweed reynod and all LFC family humu ndani
 
Last edited by a moderator:
Kweli hatupendi Mie bado sijaona mpira wa Lallana japo Kuwa timu Kama Man United ndio iliyomtaka sana nimeshangaa LFC kumtaka Lallana na si Lazar Markovich ki ukweli LFC haikumuhitaji Lalana kubadilisha game labda kutokea bench LFC inahitaji beki na Middle zenye ubavu.
 
gullem balague wa Spain twitter yake pia nimeona kaandika Barca wameanza talk na LFC na Huyu jamaa akisema kitu kuhusu player Spain na EPL inakuwa kweli. Mie la Suarez vyovyote itavyokuwa itakuwa mazuri kwa yeye na LFC haina haja kumchukia akiondoka wakati alivyokuwepo tulimshangilia.
 

mimi nadhani kinachoiathiri LFC sio ubovu wa mabeki wala middle,ni mfumo! Almost team nzima ni attaking minded,na mfumo wetu upo hivyo! Hebu angalia,mbele ya wale mabeki wanne yupo S.G peke yake,huo ni mfumo,team kama man city pale kati anacheza Fernandinho na yaya toure,sisi yupo mmoja tu,Gerald,ambye sio natural DM,ili kupunguza idadi ya magoli ya kufungwa pale LFC,mfumo ndo unaotakiwa kubadilika,kuwe na watu wawili wa kuwa cover mabeki pale mbele yao,otherwise hata umsajili middle gan duniani,kama atacheza mwenyewe pale kati tutaendlea kufungwa sana tu.
 
umesema kweli ila pia mabeki muhimu Kama Lovren nilivyosema wachezaji mabavu nimemanisha watu Kama style za Yaya,Fenandinho na Yule Reges kati unavunja vunja na kuzuia kinda zozote kupita hii inamsaidia beki kupumzika na kufikiria kuzuia bila Presha sababu Middle zinafanya kazi za unyama ndomana nikasema Lallana hakuhitajika Kuwa LFC tayari tuna Raheem na Coutinho labda Kama Bench Kuwa na watu wa kubadilisha Rogers lazima atafute Watu walioshiba na akili pale kati.
 
Suarez sale will give us money to balance the team... We need the money to strengthen our defense as well as having one pacy striker like sanches au fedhouli au di maria

we have top scorer in the name of sterling and sturridge with super aerial strength in lambert and sturridge so we are not that desperate to keep a distractor although he is a game changer (like Messi in Argentina)

We may not challenge EPL like last season, but we may become a top four household name, which has been missing for years

remember when we were scary in UCL, we only had a humble gerro and a learing alonso...

our current squad is stronger than any squad in the past 15 years
 

Chiellini... “the ban is excessive…”

“It’s a breach of human rights…barbarity” maneno ya Diego Lugano..halafu akaongezea… “They might as well handcuff him and throw him in Guatanamo”

Imeelezwa kwamba adhabu iliyotolewa na fifa ilichagizwa na background mbaya ya lui na kwamba that was the third time…ok, let say back ground ilichangia… but let us discuss this…Pepe anatambulika kwa ukosefu mkubwa wa nidhamu, ukiachilia mbali background hiyo mbaya, tumeshuhudia recently akimtwanga kichwa Muller na matokeo yake akapewa adhabu ya kukosa mechi moja. Alex Song, alifanya kitendo kinachofanana na alichokifanya Pepe lakini kilichomkuta yeye ni kufungiwa mechi tatu!

Kama fifa huwa wanaangalia background ya mtu katika kutoa maamuzi yao then why Pepe ambaye anakawaida ya kuwa na tabia chafu akapata hukumu ndogo na Alex ambaye hana background mbaya kama ya pepe akahukumiwa zaidi kwa kosa linalofanana?

Je hilo limesababishwa na waandishi wa England? Au limesababishwa na inconsistency ya fifa? Au ni ufedhuli unaotajwa kuwepo kwenye organization hiyo, kwamba wanapendelea inchi ambazo zina nguvu kisoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…