tabia za Media England pia zitasababisha wachezaji wengi kuondoka hapa C Ronaldo alikuwa good boy United na alikuwa anachukiwa angekuwa Bad Boy ndio angechukiwa kuliko Suarez na Media tizama Spain Costa kila siku na Pepe wanaye meana mate wanapigana vipepsi bila Kuwa na mpira refa asipoona sheria Kule hufungiwi sasa Diego Costa si anakuja English League subiri afanye zile tabia anafanya Spain uone Media zitavyoandika na watu Social Media watavyokuza habari wa timu zengine ili apigwe ban na Morinho atavyokuwa anatetea ndio Football ilivyo. Sheria siku hizi kuna Camera nimeona game nyingi mtu anakaa pembeni ya mtoto ananyoosha kidole cha kati kwa Player mshabiki Huyo Huyo utamkuta anasema watu Kama Suarez Na Cantona Hawafai wanafundisha watoto tabia mbaya mashabiki nao wafungiwe.
