The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Kuna yule Origi naye mzuri tu sijui wamefikia wapi?
Kuondoka kwa Suarez ndiyo mwisho wa Liverpool, msimu wa ligi unakuja wazee wa Anfield watarudi katika nafasi zao walizo zizoea (6 - 12).
Origi ???haniingia akilini eti suarez umreplace na hyo dogo hata ballotel sijui bonny wote hakuna replacement ya suarez,england uwez kumpata mtu kama suarez ama replacement ya suarez,james na sanchez hii ndo right replacement kwangu..
To me james rodriguez is the perfect replacement for suarez. Kwanza ni mdogo kiumri so tutamtumia kwa muda mrefu.vilevile napenda sachez ila hana mapenzi na liverpool.
well said! Sanchez hasa ndo proven quality,huyo Rodriguez isije ikawa ni kismati tu cha WC,unamkumbuka yule Bahanuzi wa Kagame cup?Origi ???haniingia akilini eti suarez umreplace na hyo dogo hata ballotel sijui bonny wote hakuna replacement ya suarez,england uwez kumpata mtu kama suarez ama replacement ya suarez,james na sanchez hii ndo right replacement kwangu..
Mapenzi gani unayoyahitaji kwa profesional player? Sanchez sio Mrisho Ngasa anayecheza mpira kwa mapenzi,wenzetu wana mapenzi na pesa nduguyangu,otherwise labda kama umeamua kuziamini habari za waandishi pro arsenal! Mind u,wenzetu wanaendesha maisha yao ya soka with the highest degree of profesionalism
Ndugu asikudanganye mtu despite the fact that money is everything, but mind u that mapenzi yapo palepale.km ingekua sio mapenzi leo G8 angekua anachea madrid au chelsea.put away professionalim love is also matter.
SG8 ishu yake ni tofauti sana jamaa,nikipata muda ntakuandikia hapa.
U dont need kupoteza muda wako kuniandikia any news regarding to G8.i know his stories more than any one could ever know.love for club will remain there although money stands on its side.ynwa.
Mapenzi gani unayoyahitaji kwa profesional player? Sanchez sio Mrisho Ngasa anayecheza mpira kwa mapenzi,wenzetu wana mapenzi na pesa nduguyangu,otherwise labda kama umeamua kuziamini habari za waandishi pro arsenal! Mind u,wenzetu wanaendesha maisha yao ya soka with the highest degree of profesionalism
Ndugu hakuna kitu kinaheshimiwa katka dunia ya sasa km diginity.akili na moyo wa mtu ni kitu ambacho kinathaminiwa sana.any player who is saying is not happy in the certain club is playing, the management will quickly find the way to sell him at resonable price.mfano nasri, tores etc.so sachez is happy at arsenal not at liverpool according to his agent.ynwa
Duh! Mimi naona kila mtu aendelee kujua anavyojua yeye,sidhani kama tunaelewana,make hata huyo tores hakwenda chelsea kwa vile alikuwa na mapenzi nayo,alienda kwa sababu aliahidiwa pesa ndefu ambayo pale LFC alikuwa hapati! Mtu kama Lallana tunajua kbs ni Everton fan,ila kaja kucheza LFC kutokana na ambitions zake,narudia kukwambia kwa mara ya mwisho,profesheno player anafanya mpira kama kazi nyingine yeyote ile,na sio mapenzi ya moyo wake.
To me james rodriguez is the perfect replacement for suarez. Kwanza ni mdogo kiumri so tutamtumia kwa muda mrefu.vilevile napenda sachez ila hana mapenzi na liverpool.
Sanchez alishawahi kukwambia ana mapenz na club gani???
Mshikaji mbona uko shallow sana.for ur information is better u have a nuetral guy in your squard kuliko mtu ambaye anaonesha hisia zake kwa club fulani.uko dunia ipi ambayo hujui kinachoendelea.sanchez has verbal agreement with gunnerz.
Labda nikuulize tu kwanza..
Unaelewa nini kuhusu 'duties za agent'??
Unaelewa nini kuhusu uamisho wa Willian kwenda Chelsea???