Ngoja nimalizie kuangalia mpira then nilale nitarudi kesho.
It looks like, we are signing Bertrand!!!!!
Labda nikuulize tu kwanza..
Unaelewa nini kuhusu 'duties za agent'??
Unaelewa nini kuhusu uamisho wa Willian kwenda Chelsea???
hivi huyo jamaa ni mzuri kweli au ndo uingereza kama kawaida ya LFC.
. Lallana Manchester United walimgongea mlango mara kibao na ndio walikuwa mtu wao wa mwanzo kutaka kusign chunguza utaona LFC wamemuingia Lallana mwishoni na ndio akasema anataka timu inayochezea CL aligoma kwenda Old Traford fan ya uchunguzi wako vizuri.Kaka naona unatoa hoja dhaifu sana.tores aliandika barua ya kuomba kuhama in the last nite of transfer zone in january if im not mistaken.he wanted trophies in which at anfield he did not achieve na liverpool walihaidiwa pound mill.50 ambazo zilikua super profit maana wao walispend only 20mill pound kumnunua tores kwahiyo ilikua vigumu kuziachia na vilevile waliheshimu maamuzi ya tores ya kuitaji kuhama.issue ya lalana iko hivi hakukua na upinzani kutoka tim yoyote.lati km everton wangemuitaji naamini ange chagua everton.so issue ya mapenzi na kuitaji mafanikio huwezi kushindana nayo ingawa fedha nayo ina matter.jiulize kwanini van perse alitoka the gunners na kwenda man utd.jibu ni rahisi alitaka mafanikio na arsenal waliheshimu maombi yake.so desire and diginity vitabaki stable.ynwa
Fanya yako mtu wa Manure! Yetu hayakuhusu,after all hujaombwa maoni!
Mkuu naona umepotea jukwaa
Sitakataa uhamisho wa Suarez sababu mpira wa sasa ni pesa.
Kwanini namuamini BR na LFC without Suarez
1. Ana uwezo wa kumtengeneza mchezaji kuwa a better player
- Sturidge nani alikuwa anamuamini huyu jamaa? Hata mimi nilipinga uhamisho wake. Pale Chelsea si alikuwa kama garasa? but now ni mfungaji bora baada ya suarez
- Sterring wakati anapandishwa kwenye squad ya lfc na kuhakikishiwa namba kuna watu walipinga, but what he got now habari yake mabeki wanaijua
- Hata alipofanya usajili wa mignolet, cautinho, others walipinga lakini their best now katika squad
- Suarez huwezi pinga hata kwa 1% kwamba BR ndo alimrudisha huyu jamaa katika form yake hadi sasa kuwa world class player
2. Wakati anaichukua timu 2012 kutoka kwa king Dalgish timu ilikuwa nafasi ya 8 yeye akamaliza nafasi ya 7, Nice one
Msimu mpya 2013/2014 akamiliza second place with 101 goals ikiwa ni 3rd highest place kwa goal score katika EPL na ikiwa second time since 1895-96, what a tragic move...!
I still believe in LFC & BR
To be continued
Nani alikwambia bila suarez liverpool haifanyi vizuri? Alikuwepo fowler, owen, tores na wakaondoka lakini liverpool ilibaki stable.
Ni kweli hamjaniomba maoni ila nilikuwa nawatuliza tu ili msilie maana mume wenu ndo hivyo tena, kwishney.
skirtel is a right footed,lovren uses both right n left... I stand to be corrected
thanks
do you see anything added by getting Lovren?? mimi naona kama wote wako sawa tu... and i dont think we need a new center half, tunahitaji kuwekeza mamilioni kwenye fullbacks kutokana na formation ya liverpool ambayo fullbacks ni mid-fields as well
Lovren anacheza katikati mkuu na Lovren mkali mara hata 5 ya debuchy Na Debuchy ni right back The Boss unamjua Lovren au unamsikia jamaa Yule analala na mtu anaondoa mpira na mtu anajuwa kutuliza mpira na kukokota bila kubahatisha.Hivi why lovren kwa 20 na sio debuchy kwa 8?
Hao Owen fowler walishinda FA,Uefa cup, Super Cup na Owen alichaguliwa mchezaji bora Europe.Mlikuwa na hawa wachezaji wote kipindi hicho mlishinda ligi mara ngapi au mli-qualify for Champions League mara ngapi? Umepata jibu eheeee!
ni Mapenzi sizani Kama timu yako utakuja kutoshabikia ikifikia wakati muafaka, mawazo hayo inaonyesha timu yako hutokuja kushabikia ndio utakuwa wale Plastic mashabiki ambao mpira wameanza kudakia kushabikia miaka ya Juzi tu Asante DTV! Kuna watu wameshabikia timu zao zimeenda miaka 37 bila Kombe lolote na miaka 25 bila kombe lolote itakuwa LFC ambao katikati walibeba baaazi ya makombe so kafanye uchunguzi utaona hizo timu ilioenda miaka karibia 30 bila kombe lolote na bado walikuwa na mashabiki, kwenye mpira mademu tu na watoto wadogo ndio Wenye kubadilisha timu na Wenye fikra Kama za mademu. Kuna Babu mmoja nilimuona kwenye TV alikuwa anasema wakati United inafanya vibaya chini ya Moyes akasema anasikitika vijana wasiku hizi game mbili tatu anaanza kusema haji tena hapa uwanjani kutizama game wakati enzi zangu naiona Man United hashindi hata kombe na Kule Liverpool wanashinda makombe ila sababu tuna mapenzi ya kweli kwenye damu na roho hatukufikiria Kubaki nyumbani au kutotizama game za Manchester United na akamalizia mbona vijana wa Liverpool bado wanapenda timu Yao kwa moyo? Vile ndio vijana wetu hapa wanatakiwa Kuwa sio Game mbili viti vinapungua Kama Emirates hayo sio maneno yangu ni maneno ya mashabiki wa kweli babu mtu mzima mwenye akili zake sio vijana Kelele tu. Tungekuwa hapo katikati hata makombe mengine hatupati still tungekuwa mashabiki wa LFC.Duh! Kunawatu makatili kweli Duniani humu! Ivi kweli mpaka leo Liver pool inawatu wanaoishabikia?
ni Mapenzi sizani Kama timu yako utakuja kutoshabikia ikifikia wakati muafaka, mawazo hayo inaonyesha timu yako hutokuja kushabikia ndio utakuwa wale Plastic mashabiki ambao mpira wameanza kudakia kushabikia miaka ya Juzi tu Asante DTV! Kuna watu wameshabikia timu zao zimeenda miaka 37 bila Kombe lolote na miaka 25 bila kombe lolote itakuwa LFC ambao katikati walibeba baaazi ya makombe so kafanye uchunguzi utaona hizo timu ilioenda miaka karibia 30 bila kombe lolote na bado walikuwa na mashabiki, kwenye mpira mademu tu na watoto wadogo ndio Wenye kubadilisha timu na Wenye fikra Kama za mademu. Kuna Babu mmoja nilimuona kwenye TV alikuwa anasema wakati United inafanya vibaya chini ya Moyes akasema anasikitika vijana wasiku hizi game mbili tatu anaanza kusema haji tena hapa uwanjani kutizama game wakati enzi zangu naiona Man United hashindi hata kombe na Kule Liverpool wanashinda makombe ila sababu tuna mapenzi ya kweli kwenye damu na roho hatukufikiria Kubaki nyumbani au kutotizama game za Manchester United na akamalizia mbona vijana wa Liverpool bado wanapenda timu Yao kwa moyo? Vile ndio vijana wetu hapa wanatakiwa Kuwa sio Game mbili viti vinapungua Kama Emirates hayo sio maneno yangu ni maneno ya mashabiki wa kweli babu mtu mzima mwenye akili zake sio vijana Kelele tu. Tungekuwa hapo katikati hata makombe mengine hatupati still tungekuwa mashabiki wa LFC.
bertrand is Shit..Very Average player..
we'll be happy to get your money..pure business as usual eeh?
Mambo vipi mkuu Mosdef?
Mlikuwa na hawa wachezaji wote kipindi hicho mlishinda ligi mara ngapi au mli-qualify for Champions League mara ngapi? Umepata jibu eheeee!