Nimeanza kuwasoma,wenzenu wakipost mnauliza source,nakuanza kuwazodoa Leo hii post zenu source zile zile Moreno,VIP Reus??
Brother kull down endelea kusupport timu yako.........endelea kutupasha habari kaka.......wengi tunakusoma na kukuelewa.......sisi liverpool fans tunaunganishwa na slogan hii YNWA.......together is one....usikatishwe tamaa na watu wanaojifanya wanajua kuliko wenzao.cha msingi tukubali kulekebishana na kueleweshana mambo yanayohusu timu yetu.
Nimeanza kuwasoma,wenzenu wakipost mnauliza source,nakuanza kuwazodoa Leo hii post zenu source zile zile Moreno,VIP Reus??
Nimeanza kuwasoma,wenzenu wakipost mnauliza source,nakuanza kuwazodoa Leo hii post zenu source zile zile Moreno,VIP Reus??
Nimeanza kuwasoma,wenzenu wakipost mnauliza source,nakuanza kuwazodoa Leo hii post zenu source zile zile Moreno,VIP Reus??
Brother kull down endelea kusupport timu yako.........endelea kutupasha habari kaka.......wengi tunakusoma na kukuelewa.......sisi liverpool fans tunaunganishwa na slogan hii YNWA.......together is one....usikatishwe tamaa na watu wanaojifanya wanajua kuliko wenzao.cha msingi tukubali kulekebishana na kueleweshana mambo yanayohusu timu yetu.
Natamani sana siku moja tuelewane washkaji,tunakatishana tamaa sana kwa comments kama hizi.
I wish Gerro avunjike mguu aache vijana wachape kazistarting eleven,22.Mignolet,38.Flannagan,37.Skirtel,6.Lovren,18.Moreno,8.Gerald(hanishawishi bt ndo hvyo),14.Hendo,23.Can,20.Lallana,31.Sterling,15.Sturridge
. Kweli Kabisa Na Mie narudia pale pale hata skysports news na Liverpoolecho nao wanakisia tu ila kidogo kunakuwa na matumaini ndomana BBC football online sio rahisi kufanya Rumours wao wanaziweka kwenye BBC Football Gossip kwa kuzikusanya za magazeti yote sababu wanajuwa ni Gossip tu ila ukiona BBC Football wamefikia kuandika ujue ukweli sasa upo ila ukweli ni mpaka tuone player na pen na karatasi, Daily Mail hakuna gazeti linaojifanya linajuwa Kama Hilo washawahi kuzusha Sakho Rogers kamuweka nje na hatomchezesha kwa mwezi Game kuanza kapangwa wakafuta kile kichwa cha habari na maelezo watu waliwajia juu Fact inajuwa LFC na Timu aliopo mchezaji wengine kubahatisha tu Caughtoffside na Goal.com ni website wanatumia akili Kama sie akichungulia dimarzio website anapata kujuwa ya Italy players akichungulia Bensmith bbc anapata kujuwa baaazi ya English Teams ndio mchezo wanaofanya Indykaila twitter watu wanamuona jamaa anajuwa Kumbe anabahatisha soma Fabrizio Romano jamaa ndio anajuwa kuhusu Bundesliga na Italy ukimsikia Reus anza kukubali kwa sasa hakuna kitu na Dimarzio anajuwa Italy story nyingi anawajibu watu No au Yes zaidi ya hapo YNWA!Nilichoelewa mimi ni kuwa Mkuu The Magnificent ametumia sources za Skysports & LiverpoolEcho...
Asa naomba kujua kama skysports au LiverpoolEcho washawahi kureport habari za REUS!!!!!?
. Kweli Kabisa Na Mie narudia pale pale hata skysports news na Liverpoolecho nao wanakisia tu ila kidogo kunakuwa na matumaini ndomana BBC football online sio rahisi kufanya Rumours wao wanaziweka kwenye BBC Football Gossip kwa kuzikusanya za magazeti yote sababu wanajuwa ni Gossip tu ila ukiona BBC Football wamefikia kuandika ujue ukweli sasa upo ila ukweli ni mpaka tuone player na pen na karatasi, Daily Mail hakuna gazeti linaojifanya linajuwa Kama Hilo washawahi kuzusha Sakho Rogers kamuweka nje na hatomchezesha kwa mwezi Game kuanza kapangwa wakafuta kile kichwa cha habari na maelezo watu waliwajia juu Fact inajuwa LFC na Timu aliopo mchezaji wengine kubahatisha tu Caughtoffside na Goal.com ni website wanatumia akili Kama sie akichungulia dimarzio website anapata kujuwa ya Italy players akichungulia Bensmith bbc anapata kujuwa baaazi ya English Teams ndio mchezo wanaofanya Indykaila twitter watu wanamuona jamaa anajuwa Kumbe anabahatisha soma Fabrizio Romano jamaa ndio anajuwa kuhusu Bundesliga na Italy ukimsikia Reus anza kukubali kwa sasa hakuna kitu na Dimarzio anajuwa Italy story nyingi anawajibu watu No au Yes zaidi ya hapo YNWA!
mkùu magnificent ......mimi nakubaliana na wewe kwa 100% kua skysport, liverpool echo, bbc sports kua hizo ndio source za kuaminika......na hua natumia hivyo vyanzo.....hata kwenye sim yangu nimeinstall application za vyombo hivyo vya habari na hua zinanitumia habari mpya kila wakati.
Ila natoa angalizo tu......skysport,bbc sports na liverpool echo hizi sio biblia wala kuran kwamba hazibadiliki sometimes hua wanatoa false info.kumbuka ya ibra salah.
tuendelee kupashana habari na kujadiliana na kuelimishana kwa amani maana sisi wote liverpool fans.
Najua mzee wa rubisi atakua amekwazika sana na jinsi alivyojibiwa kavukavu.
Source Za vyombo vingine azikubaliki hapa?
Mkuu sio kwamba hazikubaliki ni kwamba kuna ambazo zipo kwa Tetesi tu Kama fantasy ya ndoto ya kutaka kitu ambacho LFC wenyewe bado hatuna uhakika ndani ya Club Kama wapo kwenye talk Kama hizo wanaweza kuja ila kwa sasa ni Tetesi tu ambazo source za maana hazina muda wa kuandika Reus anatakiwa LFC mtu Kama Skysports news na Jamesecho na BBC kwa sasa hivi hawawezi kuandika Liverpool Football Club inamtaka Reus Kama ushahidi Hawana ni kujiangusha ki kazi katika kazi Yao ya utangazaji wao wanaenda na FACT! Kumbuka uongo unaweza kumfukuzisha kazi ila hizo Caughtofside sawa na blog za uchochoroni zaidi ya hapo Mkuu Tupo pamoja na wewe hatukushambulii YNWA!Source Za vyombo vingine azikubaliki hapa?
Source Za vyombo vingine azikubaliki hapa?