Liverpool itapotea sana next season kama itaendeleza ujanja ujanja wa kutoleta an established ST au AM..
Ukiachana na Uinjury prone wa Danny, pia he's not enough kabisa kuifanya LFC ikompete kwenye titles au even top4..Danny ni mtu wa kuumia muda wowote ule, ndo maana niliskitika sana tulvyomkosa Remy..
Bony, ni ST mzuri kwa kiwango chake, but sidhan kama atafit katika mfumo huu wa LFC (iwe diamond au xmas tree)..hawez, hana pace, hana extra skills, na kikubwa HE'S NOT VERSATILE kabisa (ni kama carrol,demba Ba, Negredo, Soldado, Lukaku, Etc)..bora kuna wenzake hapo wana ile pace, lakin BONY hana pace, hawez kwenda sawa na pace ya kina Raheem, Markovic, lallana, phill, ibe, Suso, au kina kina Can na Hendo wakiwa wanadrive kutoka katikati..wachezaji kama hawa wanahitaji ST ambaye ananyumbulika, Bony hawez kuforce kuingia ndan ya box akiwa na mpira, either iwe pemben au katikati (tofaut na Suarez na Danny)..ili BONY ashine LFC, BR atahitajika kubadilisha mfumo, na kumsimamisha ST mmoja mbele..and we saw that last season, Aliposimama Danny peke yake, MIGS ndo alikuwa Hero wetu kwenye game zile SITA za mwanzo bila Diaz, tulikuwa tunashinda bao MOJA MOJA tena kwa presha sana..na hata Diaz kipind flan alivyosimama Peke yake, tulsttuggle (ni mpaka coutinho alivyokuwa anaingia kucheza deeper akitokea kulia, ndo suarez alilishwa mipira mingi sana).Na unapocheza na COUTINHO lazima uwe na Pace sana, Coz yupo fasta saaaana katika link Ups
Sioni sababu ya kuwa na HELA nyingi, afu uende kumsajili BONY..wakat kuna options kibao out there (ST kibao wapo kwenye market sahiv)
With BONY(kama akija) and DANNY as our main STs i cant see us going anywhere...