Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Agger nae simuoni hata benchi,au safari ya kwenda Barca imewadia?
 
Markovic na Sturidge wameumia ila Agger safari nafikiri tayari Mie nafikiri ukiwaacha 1 Striker mwengine hao mabeki wa pembeni pia tunahitaji bado Middle anayecheza kucheza number 8 na 10 kwamba kukaba anaweza na sehemu ya kufunga anafunga sana.
 
Bring on manshit United DonDonald Liverpoolfc 2 Ac Milan 0 Huyu Balotteli ndio mkorofi ila LFC wamchukue ila Mie Naomba zaidi awe Bony kuja LFC Good goal from Suso!
 
Kweli Sturidge ameumia (Hamstring injury) na karejea UK kwa matibabu ,uenda mechi tarehe 10 BD kucheza
 
Markovic na Sturidge wameumia ila Agger safari nafikiri tayari Mie nafikiri ukiwaacha 1 Striker mwengine hao mabeki wa pembeni pia tunahitaji bado Middle anayecheza kucheza number 8 na 10 kwamba kukaba anaweza na sehemu ya kufunga anafunga sana.

Agger nae kaumia.
 
Dani.. Marko.. Lanana .. Flanagan.. Borini.. Hao ndiyo majeruhi na wamerudi Uk.. Ila BR kasema dani anaweza cheza mechi ya BVB...

Agger siyo majeruhi... But ana matatizo ya back so hachezi mechi za mfululizo.. Anahitaji mapumziko kusudi aweze kurecover...
 
Liverpool itapotea sana next season kama itaendeleza ujanja ujanja wa kutoleta an established ST au AM..

Ukiachana na Uinjury prone wa Danny, pia he's not enough kabisa kuifanya LFC ikompete kwenye titles au even top4..Danny ni mtu wa kuumia muda wowote ule, ndo maana niliskitika sana tulvyomkosa Remy..

Bony, ni ST mzuri kwa kiwango chake, but sidhan kama atafit katika mfumo huu wa LFC (iwe diamond au xmas tree)..hawez, hana pace, hana extra skills, na kikubwa HE'S NOT VERSATILE kabisa (ni kama carrol,demba Ba, Negredo, Soldado, Lukaku, Etc)..bora kuna wenzake hapo wana ile pace, lakin BONY hana pace, hawez kwenda sawa na pace ya kina Raheem, Markovic, lallana, phill, ibe, Suso, au kina kina Can na Hendo wakiwa wanadrive kutoka katikati..wachezaji kama hawa wanahitaji ST ambaye ananyumbulika, Bony hawez kuforce kuingia ndan ya box akiwa na mpira, either iwe pemben au katikati (tofaut na Suarez na Danny)..ili BONY ashine LFC, BR atahitajika kubadilisha mfumo, na kumsimamisha ST mmoja mbele..and we saw that last season, Aliposimama Danny peke yake, MIGS ndo alikuwa Hero wetu kwenye game zile SITA za mwanzo bila Diaz, tulikuwa tunashinda bao MOJA MOJA tena kwa presha sana..na hata Diaz kipind flan alivyosimama Peke yake, tulsttuggle (ni mpaka coutinho alivyokuwa anaingia kucheza deeper akitokea kulia, ndo suarez alilishwa mipira mingi sana).Na unapocheza na COUTINHO lazima uwe na Pace sana, Coz yupo fasta saaaana katika link Ups

Sioni sababu ya kuwa na HELA nyingi, afu uende kumsajili BONY..wakat kuna options kibao out there (ST kibao wapo kwenye market sahiv)

With BONY(kama akija) and DANNY as our main STs i cant see us going anywhere...
 
zile one-two za high speed za Phill, Bony ataziweza jamani..!!!!

Kwa bei anayouzwa Ballotel sahiv, i'd prefer Mario all day...
 
zile one-two za high speed za Phill, Bony ataziweza jamani..!!!!

Kwa bei anayouzwa Ballotel sahiv, i'd prefer Mario all day...

Nilielewa hii ndo itakuwa conclusion yako brother, tangu nilivyoanza kukusoma stari wa kwanza.
 
Lets wait and see... In BR i have a faith with him...

The depth is there sasa wait on ST.. LB and quality RB...
 
Back
Top Bottom