Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Javier, akitoka Spire hospital(local hospital) kufanya first medical test...
 

Attachments

  • 1407259912346.jpg
    38.6 KB · Views: 96
Funny how LFC fans across the World wapo so excited na ishu ya Javier as if ni proven and establshed RB tayari...tunaona kama neema vile, Yote hiyo ni GJ kuwa kama takataka aisee..

Wachezaji huwa wanashuka viwango, lakin GJ kapitiliza jamani,

Au sijui ana stress yule jamaa!!!?, ndo tabu ya kuwa na mwanamke mzuri akitingisha dishi kidogo tu lazima upagawe..yawezekana ndo yanayomkuta ndugu yetu GJ hayo, stress nyingi..

Bora DS kicheche tu..
 

hahahahahaha....jamaa ana kisu eeh
 
LOOKS LIKE WE'VE ACCEPTED AN OFFER FROM BAYERN KUHUSU REINA..

Dah!! PEPE anaondoka Aisee.
 
Liverpool offer £16m plus Suso for Spanish prodigy Alberto Moreno as deal inches closer
 
LOOKS LIKE WE'VE ACCEPTED AN OFFER FROM BAYERN KUHUSU REINA..

Dah!! PEPE anaondoka Aisee.
Af mbona anauzwa bei rahisi hivi £2M?. Mipango yake kama ni kulikimbia benchi nadhani huko ndio atasugua zaidi. Hawezi kumuweka N benchi labda utumike U-Spain.
 
Mignolet nae kawa kimeo sana,ona yale magoli ya jana aliyofungwa,ila nimesikia tu,mechi sikuangalia.

Migs hana Competition yule..ndo maana hakazi kabisa..manake nasikia BR hakuwa impressed na Migs msimu uliopita, haongei na mabeki, hawapangi, so anakuwa anakosa mawasiliano nao vizuri..

Hatakiwi kuwa muoga kuwakaripia kina Agger na skritel wakikosea..ndo kazi yake kama keeper..

All in all, anahitaji competition ya maana, kina jones na ward hawatoshi..
 
Aaah! Hivi kuna mchezaji ulishaona ana demu kimeo?.

Wa kauzu Jordan ni kimeo bhana, kapitwa hata na skritel!!!!!?
 

Attachments

  • 1407266819306.jpg
    52.9 KB · Views: 88
Af mbona anauzwa bei rahisi hivi £2M?. Mipango yake kama ni kulikimbia benchi nadhani huko ndio atasugua zaidi. Hawezi kumuweka N benchi labda utumike U-Spain.

He's 31 now, kiwango kimeshuka mno, sahv anachukuliwa kama Kina lambert au kolo, ni wachezaji wa kuongeza exprience kwenye Squad..

Na LFC walikuwa wanataka kupunguza mzigo wa wages kwa mchezaji ambaye ni kama Surplus kwa team, Reina was on £100,000k per week...nadhan ndo maana Napoli na Ac milan wameshindwa kumrudisha Italy..

Afu wakat anaondoka mara ya kwanza kwenda Napoli on loan, alikuwa kishazinguana na BR tayari, thats Why he wrote a letter ya kuwaaga mashabiki..

Tatizo kubwa la BR ni EGO, na ndo maana anashindwa kuwatreat legend aliowakuta pale LFC vizuri (anamuogopa SG tu)..lakini u can see how he dealt with Carrol, aquillan, doni etc and now Agger and Reina..i mean wachezaji wanajua kwamba team inabadilika muda wowote..lakin itabid udeal na players asa legends katika njia nzuri..u can see how Benitez dealt with calagher when Agger came in..

Hahahah!!!

Nakumbuka kipind kile wakat ndo LFC inamuajiri BR as a manager, Ayre alikuwa kishameet na Luis Van Gaal, coz LFC walitaka wampe LVG cheo cha director of football, juu ya BR, baada ya kuonekana tunahitaji kocha kijana, ndo LVG ikaonekana apewe hicho cheo...aisee BR aligomea kabisa hicho kitu, aligoma kabisa, na ilibaki kidogo tu asije..

EGO, inamsumbua sana BR..
 
Farewell pepe reina

you are legend..
 

Attachments

  • 1407267999826.jpg
    15.8 KB · Views: 88
Shabiki hapo kamuuliza Pearce kuhusu MORENO..and Pearce answered just like that!!!!!!!!
 

Attachments

  • 1407269281768.jpg
    57.7 KB · Views: 91
Oyo:

Nimeangalia pre season fixtures so far and I have to say; Im worried. Tunaye striker mmoja tu- Sturridge. Lambert is useless. Tuombe Mungu Markovic gets the ground running na awe kwenye form la sivyo tutakuwa tumeisha.

Siamini BR ka spend 100M na katumia 4M kwa striker tu- Lambert.

Tunahitaji striker. Naona wameweka bid kwa Lavezzi- ni mzuri na anahitajika.

Lakini overall, ile loss ya jana msijali..tulikuwa tunakosa wachezaji wengi alafu bado naomba Mungu Gerrard awe bench. Emre Can inabidi awe anaanza namba yake. Johnson auzwe. Tutampata Moreno; sasa basi kikosi changu kwa sasa ni hiki( kama Moreno akiwa yupo)

Mingolet

Javier Sakho Lovren Moreno

Can

Henderson Countinho


Sterling Sturridge Markovic.


- Lallana akija atachukua namba ya Markovic.

Tukimpata Lavezzi- kombe letu.
 

Mkuu kikosi kizuri lkn SG bado tunamuhitaji na kutoka kwake jana mapema kuliiumiza team!

Tunahitaji striker wa maana sasa kwani Moreno kaja tayari then BR alete kipa pia wa ukweli kushindana na Migs!

Goli la 1 jana la Rooney kafungwa kizembe sana!Skrtel anakimbizana na Rooney kwenye flank ya kulia ww kipa unakaa tena kulia badala ya kuziba kushoto?

Migs hana mpinzani na kabweteka
 
Full Moon, nimependa the way ulivyopresent aisee,ipo very logical,ila,kwangu mimi dogo Flanno,yupo poa sana kuliko huyo Javier ambaye Ligi ya uingereza huwa anaiangalia kwenye tv kama sisi i.e hana experience nayo. Halafu hao wote,Sakho na Lovren nadhani ni LCB,hawawezi kucheza pamoja,ungemjumuisha Skirtel pale.
 
Last edited by a moderator:

Believe me SG will be our pillar again!SG bado uwezo anao hasa kama tutapata striker mwingine wa kutunza mipira!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…