Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funny how LFC fans across the World wapo so excited na ishu ya Javier as if ni proven and establshed RB tayari...tunaona kama neema vile, Yote hiyo ni GJ kuwa kama takataka aisee..
Wachezaji huwa wanashuka viwango, lakin GJ kapitiliza jamani,
Au sijui ana stress yule jamaa!!!?, ndo tabu ya kuwa na mwanamke mzuri akitingisha dishi kidogo tu lazima upagawe..yawezekana ndo yanayomkuta ndugu yetu GJ hayo, stress nyingi..
Bora DS kicheche tu..
LOOKS LIKE WE'VE ACCEPTED AN OFFER FROM BAYERN KUHUSU REINA..
Dah!! PEPE anaondoka Aisee.
hahahahahaha....jamaa ana kisu eeh
Af mbona anauzwa bei rahisi hivi £2M?. Mipango yake kama ni kulikimbia benchi nadhani huko ndio atasugua zaidi. Hawezi kumuweka N benchi labda utumike U-Spain.LOOKS LIKE WE'VE ACCEPTED AN OFFER FROM BAYERN KUHUSU REINA..
Dah!! PEPE anaondoka Aisee.
Hatari saaaana!
Mignolet nae kawa kimeo sana,ona yale magoli ya jana aliyofungwa,ila nimesikia tu,mechi sikuangalia.
Hatari saaaana!
Liverpool offer £16m plus Suso for Spanish prodigy Alberto Moreno as deal inches closer
Aaah! Hivi kuna mchezaji ulishaona ana demu kimeo?.
Af mbona anauzwa bei rahisi hivi £2M?. Mipango yake kama ni kulikimbia benchi nadhani huko ndio atasugua zaidi. Hawezi kumuweka N benchi labda utumike U-Spain.
Oyo:
Nimeangalia pre season fixtures so far and I have to say; Im worried. Tunaye striker mmoja tu- Sturridge. Lambert is useless. Tuombe Mungu Markovic gets the ground running na awe kwenye form la sivyo tutakuwa tumeisha.
Siamini BR ka spend 100M na katumia 4M kwa striker tu- Lambert.
Tunahitaji striker. Naona wameweka bid kwa Lavezzi- ni mzuri na anahitajika.
Lakini overall, ile loss ya jana msijali..tulikuwa tunakosa wachezaji wengi alafu bado naomba Mungu Gerrard awe bench. Emre Can inabidi awe anaanza namba yake. Johnson auzwe. Tutampata Moreno; sasa basi kikosi changu kwa sasa ni hiki( kama Moreno akiwa yupo)
Mingolet
Javier Sakho Lovren Moreno
Can
Henderson Countinho
Sterling Sturridge Markovic.
- Lallana akija atachukua namba ya Markovic.
Tukimpata Lavezzi- kombe letu.
Full Moon, nimependa the way ulivyopresent aisee,ipo very logical,ila,kwangu mimi dogo Flanno,yupo poa sana kuliko huyo Javier ambaye Ligi ya uingereza huwa anaiangalia kwenye tv kama sisi i.e hana experience nayo. Halafu hao wote,Sakho na Lovren nadhani ni LCB,hawawezi kucheza pamoja,ungemjumuisha Skirtel pale.