The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Believe me SG will be our pillar again!SG bado uwezo anao hasa kama tutapata striker mwingine wa kutunza mipira!
Sina comment kwa SG,nikikumbuka alipotoka na timu,huwa namsamehe makosa yake papohapo.
Believe me SG will be our pillar again!SG bado uwezo anao hasa kama tutapata striker mwingine wa kutunza mipira!
I think tusimtegemee Stevie kama pillar uwanjani, tumtegemee Stevie kama leader and a youth mentor.... kisoka ameshachujaWakati akina Owen wanatukimbia yy SG ndiyo hot mido duniani miaka ya 2004 ana umri wa miaka 23 kipindi hicho alikataa kuondoka kwa dau kubwa sana toka kwa Chelsea na baadae Madrid!
Kikubwa zaidi SG bado mpira anaujua
AhsanteFull Moon, nimependa the way ulivyopresent aisee,ipo very logical,ila,kwangu mimi dogo Flanno,yupo poa sana kuliko huyo Javier ambaye Ligi ya uingereza huwa anaiangalia kwenye tv kama sisi i.e hana experience nayo. Halafu hao wote,Sakho na Lovren nadhani ni LCB,hawawezi kucheza pamoja,ungemjumuisha Skirtel pale.
Mkuu kikosi kizuri lkn SG bado tunamuhitaji na kutoka kwake jana mapema kuliiumiza team!
Tunahitaji striker wa maana sasa kwani Moreno kaja tayari then BR alete kipa pia wa ukweli kushindana na Migs!
Goli la 1 jana la Rooney kafungwa kizembe sana!Skrtel anakimbizana na Rooney kwenye flank ya kulia ww kipa unakaa tena kulia badala ya kuziba kushoto?
Migs hana mpinzani na kabweteka
Steven Gerrad bado mzuri mzuri sema nadhani muda umefika aanze kutochezeshwa mara nyingi nyingi. Nadhani Emre Can anaweza fanya ile shughuli vizuri tu..umemuona akicheza?
Kweli mkuu! Halafu deal la Javier Manquilo is done kakwea pipa to anfield kwa ajil ya medical. Naona dogo ataleta upinzani kwa flano na Gj kama atamantain kiwango.
MY LFC FIRST ELEVEN NI;
1.Mignolet
2.Flagan
3.Enrique
4.Lovren
5.Agger
6.Can
7.Lalana
8.Henderson
9.Coutinho
10.Sturidge
11.Bonny.
Naona Conor Coady anaondoka pia...
MY LFC FIRST ELEVEN NI;
1.Mignolet
2.Flagan
3.Enrique
4.Lovren
5.Agger
6.Can
7.Lalana
8.Henderson
9.Coutinho
10.Sturidge
11.Bonny.
bila sterling?
ha!!