Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ishu ya Falcao kuja Liverpool ikoje?.....kuna ukweli?

TonyBarret kaconfirm kuwa we had an interest lakin jamaa anaenda RMA..

I think Monaco used us ili watengeze a BIG loan deal na wages za jamaa..
 
Liverpool ipo so desperate katika kutafuta ST now, naomba tu tusije tukafanya Panic buy..
 
I understand msuguano wa kutokuelewana kati ya Agger na BR kwa sasa, umekuwepo tangu mwishoni mwa last season, na nitasema hapa kila siku kuwa Ego na ubabe wa BR ndo uliyucost ubingwa last season..you cant just leave a decent CB you had on the bench kwa ajili ya sakho na skrtel katika game zinazoitaji relaxed and passionate CB's kama Agger katka game muhim za chelsea na crystal palace...

Lakini hii ishu ya kwamba Agger alilia kuomba kuondoka mbele ya wachezaji wengine tena katika dressing room, NAIPINGA kabisa..Joe Allen alishawahi kuulizwa ni mchezaji gani ambaye ni kauzu, mkimya na ambaye hajichanganyi sana na wachezaji wengine na ambaye ni mara chache sana hucheka na wenzie akajibu str8 kuwa ni DANIEL AGGER, SG huwa anapenda kumwita DAGGER..asa leo hii unakuja kuambiwa eti kalia mbele ya wachezaji wengine na mbele ya kocha..that is not the DAgger i know, Dagger ambaye aliikataa Barcelona mara tatu, Barca ya Guardiola, Barca ya vilanova na Ile Barca ya martimo last season, Dagger ambaye aliikataa AC MILAN mara mbili when they came knocking, Dagger ambaye alimtosa Pelegrin na hela za man city last season na ule uliopita...

When Shitty player like mascherano, torres, meireles etc walikimbia he stayed calm yeye na kina SG..

BR japokuwa katurudisha kwenye chart, lakin hajui kiundan what it feels kuwa a LFC player, what it feels kuwa a World class CB huku ukiwa na tatoo ya YNWA kwenye vidole vyako na team ikiwa inamaliza chini ya spurs na everton for the past f*ckn 4 Years..Huo ustrong wa kukataa kwenda kucheza na Messi na kuendelea kuangaika na kina sterling Kuna CB gan mwingine anao pale Sakho, lovren??!! Hakuna, afu leo uje uniambie Agger alilia eti kwenye dressing rooms..

RB, kipind kile Agger anachukua namba ya Callagher, RB alimwita na Jamie na kumwelekeza kuwa tunajaribu kutengeneza kitu kipya hapa, na wewe kama legend tunakuhitaji ubaki hapa, mchango wako bado muhimu, lakin anachofanya BR ni upuuzi, (reina, aquillan, carrol, adams, jay spearing, shelvey, etc) wote wameondoka kwa manung'uniko, hawakuondoka vizuri..

Na the fact kwamba BR anaogopa kumwachia Agger kuondoka katika hali hii, ni ile chuki atakayoipata kutoka kwa mashabik achilia mbali tu kumuuza Agger bali kama LFC ikifanya vibaya kwenye defense again..watu hawatamuelewa, Agger ni ni MCHEZAJI WA PILI ANAYEPENDWA na more than 70million LFC fans across the world ukiachana na SG..so kama anaondoka itabidi anaondoka kwa heshima..na BR should respect that.

Na nimeona jinsi LFC fans walivyoitukana LFC kwenye official page yao ya twitter kuhusu hii ishu ya Agger kulia..nadhan watakuwa wamepata ujumbe...

They should respect AGGER..the 2nd most loyal LFC player behind SG..
 
TonyBarret kaconfirm kuwa we had an interest lakin jamaa anaenda RMA..

I think Monaco used us ili watengeze a BIG loan deal na wages za jamaa..

Haendi RMA sababu ya CAP,kwa sasa kuna Rodgruez,Bale,Benzema na CR hawawezi mlipa Falcao!Pia hawezi enda Man City sababu anataka team ana enda sababu katoka majeruhi awe disputable striker jambo ambalo hawezi ikawa guarantee team zingine!!

Pia hawezi enda Barca wala Munich wala Chelsea sababu hiyo hiyo ya cap na kupata nafasi ya kucheeza
Liverpool wanaweza mchukua Falcao
 
Hahahah!!!!

MNAKIKUMBUKA HIKI KIKOSI???
 

Attachments

  • 1407442480327.jpg
    114.3 KB · Views: 94

TonyBarret kasema we enquired about him 10 days ago, but we were told he's going somewhere else..

NA FALCAO HAUZWI, ANATOLEWA KWA MKOPO TU..
 
Malafyale hiyo ni Article ya Barret kuhusu Falcao, ukiisoma utaielewa zaidi.
 

Attachments

  • 1407443837359.jpg
    86.2 KB · Views: 72
Last edited by a moderator:

Mimi mechi za Chelsea na crystal palace namlaumu huyu kocha moja kwa moja...aliniudhi sana basi tu
 
Guys I missed this thread sana...it has been over a month. Sijui nilifungiwa(ban) au ilikuwaje hata sielewi ndugu zangu.
But am happy kwa jinsi mnavyolisongesha hapa "Anfield" ya JF.
 
Nanung'unika tu kma agger akiuzwa ntaumia kuliko maelezo ni bora niachww na mpenzi wangu ila sio agger kuondoka anifield he is ma hero.
 

Thanks mkuu

Umeiweka vizuri sana.... BR is a transition manager, he is rude and shrewd!!!

Ila Liverpool ilipofikia, ilihitaji sana mtu kama yeye, kwenye vita zote kuna casualties and some of them are just victims

It is sad but important

Ninachojua ni kwamba BR will end up being fired one day kwasbabu ni mkorofi sana, na ana ego kuna siku ataoverstep his limits
 

Inashangaza Van Gall alikuwa available na tukamuacha Hiddink nae hatukumchukua
kuna mtu anaitwa Van Carte alikuwa chelsea mholanzi mzuri mno...kuliko BR
 
wakuu,mbona mnamshambulia hvyo BR? Kafanya kosa gani kubwa kiasi hicho wakuu? This man deserves a little respect for what he has done for us...tumuhukumu kwa matokeo ya uwanjani jamani.
 
Inashangaza Van Gall alikuwa available na tukamuacha Hiddink nae hatukumchukua
kuna mtu anaitwa Van Carte alikuwa chelsea mholanzi mzuri mno...kuliko BR
Bado naamini BR is the best choice for Liverpool

Kumbuka tulikua downward spiral na hao managers are for the big stage

we should be realistic kwamba tulishakua chini ya hata Tottenham, we were in Aston Villa, NEwcastle na Everton level/// LVG, Hiddink etc wangetumaliza kabisa
 
wakuu,mbona mnamshambulia hvyo BR? Kafanya kosa gani kubwa kiasi hicho wakuu? This man deserves a little respect for what he has done for us...tumuhukumu kwa matokeo ya uwanjani jamani.

Mkuu mimi niko BR side all the way, ila najua kwamba he is running risk kama ataburn too many bridges in a short time

he is the best manager for liverpool for now
 

Huyu Van Carte alikuwa msaidizi Chelsea unampata pata lakini? hajapewa timu kubwa tu but ni bonge la kocha
 
Chanzo cha huko ufaransa kinaripoti kwamba Cavani amewekwa sokoni na timu yake.

Hivi huyu jamaa hawezi kutufaa jamani au ndo wale wake akina Suarez wanaotaka kwenda Spain.
 
Chanzo cha huko ufaransa kinaripoti kwamba Cavani amewekwa sokoni na timu yake.

Hivi huyu jamaa hawezi kutufaa jamani au ndo wale wake akina Suarez wanaotaka kwenda Spain.
sidhani kama anatufaa huyo, kwa mpira wa liverpool, tunahitaji striker ambaye anaweza shuka deep in midfield kama suarez or anaetokea katika wings kama alivyokuwa torres a typical center forward hata kucheza kwa ufanisi, kama kweli BR anataka striker wa maana anayeweza endana na mfumo wetu basi Aguero au jovetic wana tufaa sana. Aguero ni mzuri sana anapokuwa free akitokea wings na Jovetic ni mzuri sana akitokea kwenye midfield. Mtu kama Bony ni mzuri ila siyo kwa mfumo wa uchezaji wa Liverpool
kuna mchezaji yupo timu ya U21 anaitwa Daniel trickett-smith ni mzuri sana tunaweza mtumia kama false number nine kama BR ataamua kustick kwa youngster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…