I understand msuguano wa kutokuelewana kati ya Agger na BR kwa sasa, umekuwepo tangu mwishoni mwa last season, na nitasema hapa kila siku kuwa Ego na ubabe wa BR ndo uliyucost ubingwa last season..you cant just leave a decent CB you had on the bench kwa ajili ya sakho na skrtel katika game zinazoitaji relaxed and passionate CB's kama Agger katka game muhim za chelsea na crystal palace...
Lakini hii ishu ya kwamba Agger alilia kuomba kuondoka mbele ya wachezaji wengine tena katika dressing room, NAIPINGA kabisa..Joe Allen alishawahi kuulizwa ni mchezaji gani ambaye ni kauzu, mkimya na ambaye hajichanganyi sana na wachezaji wengine na ambaye ni mara chache sana hucheka na wenzie akajibu str8 kuwa ni DANIEL AGGER, SG huwa anapenda kumwita DAGGER..asa leo hii unakuja kuambiwa eti kalia mbele ya wachezaji wengine na mbele ya kocha..that is not the DAgger i know, Dagger ambaye aliikataa Barcelona mara tatu, Barca ya Guardiola, Barca ya vilanova na Ile Barca ya martimo last season, Dagger ambaye aliikataa AC MILAN mara mbili when they came knocking, Dagger ambaye alimtosa Pelegrin na hela za man city last season na ule uliopita...
When Shitty player like mascherano, torres, meireles etc walikimbia he stayed calm yeye na kina SG..
BR japokuwa katurudisha kwenye chart, lakin hajui kiundan what it feels kuwa a LFC player, what it feels kuwa a World class CB huku ukiwa na tatoo ya YNWA kwenye vidole vyako na team ikiwa inamaliza chini ya spurs na everton for the past f*ckn 4 Years..Huo ustrong wa kukataa kwenda kucheza na Messi na kuendelea kuangaika na kina sterling Kuna CB gan mwingine anao pale Sakho, lovren??!! Hakuna, afu leo uje uniambie Agger alilia eti kwenye dressing rooms..
RB, kipind kile Agger anachukua namba ya Callagher, RB alimwita na Jamie na kumwelekeza kuwa tunajaribu kutengeneza kitu kipya hapa, na wewe kama legend tunakuhitaji ubaki hapa, mchango wako bado muhimu, lakin anachofanya BR ni upuuzi, (reina, aquillan, carrol, adams, jay spearing, shelvey, etc) wote wameondoka kwa manung'uniko, hawakuondoka vizuri..
Na the fact kwamba BR anaogopa kumwachia Agger kuondoka katika hali hii, ni ile chuki atakayoipata kutoka kwa mashabik achilia mbali tu kumuuza Agger bali kama LFC ikifanya vibaya kwenye defense again..watu hawatamuelewa, Agger ni ni MCHEZAJI WA PILI ANAYEPENDWA na more than 70million LFC fans across the world ukiachana na SG..so kama anaondoka itabidi anaondoka kwa heshima..na BR should respect that.
Na nimeona jinsi LFC fans walivyoitukana LFC kwenye official page yao ya twitter kuhusu hii ishu ya Agger kulia..nadhan watakuwa wamepata ujumbe...
They should respect AGGER..the 2nd most loyal LFC player behind SG..