Yule dogo,ana miaka 22..analingana na Coutinho...inabidi akaze sana.
Aisee ntam-miss sana manjino, uwanjani alikuwa anaelewana sana na haya matoto kiukweli combination yao ilkuwa inanpandisha mzuka wakuu.
Now limeongezeka toto jingine *bitozi Lazar markovic* pace na skills tu kwa sana!!!..
Angalia mpira huo ulivyotulizwa hapoo..
Msimu huu utakuwa mgumu sana...hasa kwetu tuliyempoteza super striker! Yani tukizingua kidogo tu,top4 hatuioni wala nini!
Msimu huu utakuwa mgumu sana...hasa kwetu tuliyempoteza super striker! Yani tukizingua kidogo tu,top4 hatuioni wala nini![/QUOTE
Angalia J2 hapo..utakuja kunipa majibu..una Moreno, manquillo, flanno, GJ, Agger, Lovren, skritel, sakho, coates, Enrique..wote hao wanapigania namba katika defense..wakat kuna watu wana Evans, Smalling, Jones na Luke shaw, (hahahahah)..Dah..afu una wasiwasi?????
MUULIZE SANCHEZ ANAMJUA MORENO VIZUUUURI.
Hahahahaha! Naliaminia ni lifundi lizuri nalo.
Msimu huu utakuwa mgumu sana...hasa kwetu tuliyempoteza super striker! Yani tukizingua kidogo tu,top4 hatuioni wala nini!
Lavezzi KAGOMA mkataba mpya PSG na kaambiwa aondoke!Liverpool wame-table Milion 18 tusubiri jibu na tuzidi kuomba!
Akija Lavezzi na kipa Sergio Romero kum challenge Mignolet tutakuwa mabingwa
Lavezzi wa nini huyo ameshakua mzee????
Kumbuka ana miaka 30 mkuu.
Mkuu The Magnificent ngoja nijitahidi kutoa ufafanuzi wangu kwa manufaa ya mashabiki wa mpira bila kujali timu utakayo:
1. "Pressing high up" maana yake ni kitendo cha timu "A" kucheza mpira muda mwingi kwenye nusu ya timu "B" yaani kwa maneno ya mtaani kuwachezea nusu uwanja. Sasa katika mifumo ya mpira wa sasa; ni rahisi kucheza nusu uwanja unapotumia mifumo ya 4-4-2 au mara nyingi ni rahisi kwa timu inayocheza 4-3-3.
MIFANO: timu ya Barcelona CF chini ya Pep Guardiola. muda mwingi walikuwa wanachezea nusu-uwanja kweny goli la wapinzani. Kilichowasaidia sana Barca; katika hili ni uwezo wao wa kucheza yale mambo ya 'tik-tak' pasi fupi fupi; Pia ikumbukwe kwamba mara nyingi Barcelona wanacheza 4-3-3;
# 2. LIVERPOOL FC msimu uliopita mara nyingi mlicheza 4-3-3; yaani kule mbele kwenye mashambulizi walikuwa SSS, si ndiyo?
Kwa hiyo timu inaweza kuwa ina 'press hhigh up' inacheza nusu uwanja kwenye lango la adui/wapinzani lakini si lazima wawe wanacheza kwa "pace" au kasi ya juu.
SASA TUJADILI KIDOGO KUHUSU HII 'PACE'
kama walivyosema wadau waliotangulia. pace = speed.
lakini ikumbukwe kwamba mchezaji anakuwa na 'pace = speed' yake.
timu inaweza kuwa na 'speed' yake.
na mchezo wenyewe unakuwa na 'speed' yake.
MIFANO. LIVERPOOL vs CHELSEA 4-4 CHAMPIONS LEAGUE SEMI-FINAL ile mechi ilichezwa London; kila mchezaji alikuwa na pace, timu zote zilikuwa na pace na hatimaye gamu nzima ikawa na pace nzuri sana; ndo maana ikawa funga nikufunge.
Mfano 2. Bayern Munich vs Chelsea Fc MUNICH FINAL,,Bayern Munich walikuwa wana 'press high' muda wote wa mchezo. Chelsea Fc walingojea tu kutumia 'counter attack' na ilipotokea na goli likapatikana. kwa hiyo kulikuwa na tofauti ya 'pace' au 'speed' katika mechi ile. Munich walikuwa na pace ya juu. Lakini Chelsea walikuwa wana-absorb pace na pressure ya Wajerumani.
Nadhani nimeeleza mambo ya maana; wa wapenzi wa mpira. Ndo maana hata Magnificent anajua mimi ni chelsea fc, but sometimes we TALK only football.
thanks guys.
Msimu huu utakuwa mgumu sana...hasa kwetu tuliyempoteza super striker! Yani tukizingua kidogo tu,top4 hatuioni wala nini![/QUOTE
Angalia J2 hapo..utakuja kunipa majibu..una Moreno, manquillo, flanno, GJ, Agger, Lovren, skritel, sakho, coates, Enrique..wote hao wanapigania namba katika defense..wakat kuna watu wana Evans, Smalling, Jones na Luke shaw, (hahahahah)..Dah..afu una wasiwasi?????
MUULIZE SANCHEZ ANAMJUA MORENO VIZUUUURI.
Imagine BR asisajili striker,afu Sturidge kama kawaida yake akaumia...who will lead the frontline? Lambert?
Noted brother!
Imagine BR asisajili striker,afu Sturidge kama kawaida yake akaumia...who will lead the frontline? Lambert?
Suala la kusajili ST ni crucial hata mwenyewe kishasema..ST gani atakuja, ndo bado hatujajua.