Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yule dogo,ana miaka 22..analingana na Coutinho...inabidi akaze sana.

Yap..anapasha na kina Jerome sahiv..si unajua katoka majeruhi..wanamweka fiti kidogo..maana ile tour yote ya USA aliikosa kwasababu ya injuries..
 
Aisee ntam-miss sana manjino, uwanjani alikuwa anaelewana sana na haya matoto kiukweli combination yao ilkuwa inanpandisha mzuka wakuu.

Now limeongezeka toto jingine *bitozi Lazar markovic* pace na skills tu kwa sana!!!..

Angalia mpira huo ulivyotulizwa hapoo..
 
Attachments

  • 1408043051513.jpg
    1408043051513.jpg
    42.4 KB · Views: 105
Unakumbuka hapo???..Coates alikuwa kawapiga bonge la goal QPR, lakini mwisho wa siku tukafa 3-2..#DaglishEra
 
Attachments

  • 1408043266650.jpg
    1408043266650.jpg
    33.1 KB · Views: 94
Msimu huu utakuwa mgumu sana...hasa kwetu tuliyempoteza super striker! Yani tukizingua kidogo tu,top4 hatuioni wala nini!
 
but,kama ni ubora wa kikosi...tuna timu ya ukweli sana season hii...tungepata striker mmoja tu wa maana,ingekuwa hbr nyingine kbs
 
Msimu huu utakuwa mgumu sana...hasa kwetu tuliyempoteza super striker! Yani tukizingua kidogo tu,top4 hatuioni wala nini!

What matters the most ni team commitment, Suarez tulikuwa naye for the past 3 years but he changed nothing, tuliendelea kubak pale pale nafas ya 7, but BR came in and changed the whole philosophy ya uchezaji, we adopted a highly speed attacking football..katka huo mfumo ST yoyote mwepesi angefunga, ndo maana pamoja na majeruhi yote ya Sturridge lakini alifikisha magoal 22, wakat chelsea hakuwah hata kufikisha magoli zaid ya 12 kwa msimu..

We just need a Good ST ambaye anaweza akamanage on his own hata Danny akiumia (kama suarez alivyokuwa anafanya)..we have strengthen our defense and midfield, bado ST wa maana we'll rock as usual..

A lot of pundits are writing us off kwenye top4 this season, but we gonna suprise many.

Suarez wont be a factor, kama tukipata a very good versatile ST...

Usiogope mawazo ya pundits wa manchester na london, siku zote wanaichukia LFC, coz hata wafanyaje huwa inabakiaga kuwa ni BIG CLUB in UK..now they're saying ManUtd will finish above LFC, hahahah, with their overweight LB *shaw* and a Spanish mid with no any National team cap..

Wasikupe tabu..
 
Msimu huu utakuwa mgumu sana...hasa kwetu tuliyempoteza super striker! Yani tukizingua kidogo tu,top4 hatuioni wala nini![/QUOTE

Angalia J2 hapo..utakuja kunipa majibu..una Moreno, manquillo, flanno, GJ, Agger, Lovren, skritel, sakho, coates, Enrique..wote hao wanapigania namba katika defense..wakat kuna watu wana Evans, Smalling, Jones na Luke shaw, (hahahahah)..Dah..afu una wasiwasi?????

MUULIZE SANCHEZ ANAMJUA MORENO VIZUUUURI.
 
BR anatarajia kumsajili Alexander Song(25) kutoka Barcelona ili kuzuba pengo litakaloachwa na Lucas Leiva(27) wakuu.
 
Msimu huu utakuwa mgumu sana...hasa kwetu tuliyempoteza super striker! Yani tukizingua kidogo tu,top4 hatuioni wala nini!

Lavezzi KAGOMA mkataba mpya PSG na kaambiwa aondoke!Liverpool wame-table € Milion 18 tusubiri jibu na tuzidi kuomba!

Akija Lavezzi na kipa Sergio Romero kum challenge Mignolet tutakuwa mabingwa
 
Lavezzi wa nini huyo ameshakua mzee????
Kumbuka ana miaka 30 mkuu.
 
Lavezzi wa nini huyo ameshakua mzee????
Kumbuka ana miaka 30 mkuu.

Mkuu kwa sasa hatuna choice na ligi inaanza!Maana Reus ata trigger clause yake ya kuondoka mwezi January!

Ama tumchukue Bony ambaye Africans Cup of Nations inaanza mwezi ujao na akienda huko lzm arudi na malaria na kukaa nje mwezi mzima na mwakani anaenda Fainali Morocco kwa miezi karibia miwili?
 
Mkuu The Magnificent ngoja nijitahidi kutoa ufafanuzi wangu kwa manufaa ya mashabiki wa mpira bila kujali timu utakayo:

1. "Pressing high up" maana yake ni kitendo cha timu "A" kucheza mpira muda mwingi kwenye nusu ya timu "B" yaani kwa maneno ya mtaani kuwachezea nusu uwanja. Sasa katika mifumo ya mpira wa sasa; ni rahisi kucheza nusu uwanja unapotumia mifumo ya 4-4-2 au mara nyingi ni rahisi kwa timu inayocheza 4-3-3.

MIFANO: timu ya Barcelona CF chini ya Pep Guardiola. muda mwingi walikuwa wanachezea nusu-uwanja kweny goli la wapinzani. Kilichowasaidia sana Barca; katika hili ni uwezo wao wa kucheza yale mambo ya 'tik-tak' pasi fupi fupi; Pia ikumbukwe kwamba mara nyingi Barcelona wanacheza 4-3-3;
# 2. LIVERPOOL FC msimu uliopita mara nyingi mlicheza 4-3-3; yaani kule mbele kwenye mashambulizi walikuwa SSS, si ndiyo?

Kwa hiyo timu inaweza kuwa ina 'press hhigh up' inacheza nusu uwanja kwenye lango la adui/wapinzani lakini si lazima wawe wanacheza kwa "pace" au kasi ya juu.

SASA TUJADILI KIDOGO KUHUSU HII 'PACE'

kama walivyosema wadau waliotangulia. pace = speed.
lakini ikumbukwe kwamba mchezaji anakuwa na 'pace = speed' yake.
timu inaweza kuwa na 'speed' yake.
na mchezo wenyewe unakuwa na 'speed' yake.

MIFANO. LIVERPOOL vs CHELSEA 4-4 CHAMPIONS LEAGUE SEMI-FINAL ile mechi ilichezwa London; kila mchezaji alikuwa na pace, timu zote zilikuwa na pace na hatimaye gamu nzima ikawa na pace nzuri sana; ndo maana ikawa funga nikufunge.

Mfano 2. Bayern Munich vs Chelsea Fc MUNICH FINAL,,Bayern Munich walikuwa wana 'press high' muda wote wa mchezo. Chelsea Fc walingojea tu kutumia 'counter attack' na ilipotokea na goli likapatikana. kwa hiyo kulikuwa na tofauti ya 'pace' au 'speed' katika mechi ile. Munich walikuwa na pace ya juu. Lakini Chelsea walikuwa wana-absorb pace na pressure ya Wajerumani.

Nadhani nimeeleza mambo ya maana; wa wapenzi wa mpira. Ndo maana hata Magnificent anajua mimi ni chelsea fc, but sometimes we TALK only football.

thanks guys.

hivi pace ni nini? Na pressing high up ni nini? Wakuu msaada tafadhali,cc MosDef Pazi Malafyale agosti 8
 
Noted brother!
 
Msimu huu utakuwa mgumu sana...hasa kwetu tuliyempoteza super striker! Yani tukizingua kidogo tu,top4 hatuioni wala nini![/QUOTE

Angalia J2 hapo..utakuja kunipa majibu..una Moreno, manquillo, flanno, GJ, Agger, Lovren, skritel, sakho, coates, Enrique..wote hao wanapigania namba katika defense..wakat kuna watu wana Evans, Smalling, Jones na Luke shaw, (hahahahah)..Dah..afu una wasiwasi?????

MUULIZE SANCHEZ ANAMJUA MORENO VIZUUUURI.

Imagine BR asisajili striker,afu Sturidge kama kawaida yake akaumia...who will lead the frontline? Lambert?
 
Noted brother!

Pace ni *speed* which includes quicker play and quick dribbling when going or moving foward...mara nyingi inamuhusu mchezaji mmoja mmoja tu (messi, ronaldo, sterling, hazard, sanchez, navas, bale, townsend, pedro, moura, reus, robben, riberly, gotze, salah, Etc)

High-Pressing ni kile kitendo cha kushambulia kwa kasi sana, na at the same time kutrack back mpira quickly soon tu wakiupoteza kwa opponents (Barcerona ya Pep Guardiola, Dortmund ya 2012/2013 ya Klopp, As Roma, Athletic Bilbao ya Bielsa etc, BR tried it last season but sidhan kama alifanikiwa hence we conceded goals kibao sana)..high-pressing involves *deep defensive football*
 
Back
Top Bottom