Nilishasema sana kuhusu Mario Baloteli.
This is ine of the best signing by BR.
Nilishasema sana kuhusu Mario Baloteli.
This is ine of the best signing by BR.
Balo amuaga swahiba wake
Mkuu amini nakuambia Suarez hakuondoka Lfc Sababu ya zile Scandal, BR aliwahi kunukuliwa akisema walihaha kumbakisha jamaa lkn ikashndkana na Suarez Mwenyewe alikiri kwamba familia yake haikuwa na furaha kuishi Liverpool.
Hongereni kwa kumsajili ''Why Me'' baada ya 'Sure boy' kuwatema
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hongereni kwa kumsajili ''Why Me'' baada ya 'Sure boy' kuwatema. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeee
BBC Swahili hapa wameintroduce move ya ballo to Lfc naona tayari ishakuwa done deal!!
That was long time ago msimu ule mwingine alipotaka kwenda Arsenal. After that things calmed down a bit and even the neutrals started liking him again mpaka alipoharibu kwenye Kombe la Dunia.
Lakini iko wazi kwa kila mtu kuwa Suarez alikuja na controversy zake na baadhi ya makosa yake yalikuwa yana-distract timu, and possibly the whole club.
Kwa hiyo, ilipokuja suala la kumuuza hili nalo lilichangia kwa kiasi kikubwa kwa klabu kufanya maamuzi ya kumpiga bei hata kama Suarez alitaka kuondoka mwenyewe.
Sasa nikuulize mkuu, Balotelli atacheza wapi? Na Markovic je? Sterling? Coutinho?
Tulihitaji back-up striker mzuri sio striker calibre ya Balotelli.
Kaka hakuna shaka huyu ni wetu labda ashindwe vipimo.super mario.....nalipenda sana hili jamaa.
Msiomtaka Balo hebu niambieni,hamumtaki kwa 7bu hawezi kufunga au kwa tabia zake tu?
As LFC fans mi naona ujinga na utoto kuanza kusema hatumtaki MB wakati ndo ashatua Anfield.
Hivi mtu unaposema haumtaki Baloteli cjui unakua una maanisha nini hasa??????
Kama fans wa liverpoolfc nafikiri ni vema kujadili ni namna gani liverpool inaweza kugain much out of him na mfumo upi utamfaa huyu jamaa?????
binafsi simtaki balo kwa kulinganisha na aliyetoka balo hajawai kufikia kiwango cha suarez alichokionyesha msimu uliopita, jamaa sio mpiganaji ni lizito sana
binafsi sijafurahia ujio wa balo anfield naona kama amekuja kuziba nafasi ya mchezaji bora na mwenye kasi zaidi yake