Etoo kakabidhiwa mkataba wa 80,000/week with performance benefits.
Sasa sijui itakuwaje maana naona kama namba zitagombewa si mchezo.
Etoo kakabidhiwa mkataba wa 80,000/week with performance benefits.
Sasa sijui itakuwaje maana naona kama namba zitagombewa si mchezo.
Kaka umeniacha gizani kidogo etoo kakabidhiwa na nani hiyo 80,000 kwa wiki?
Etoo kakabidhiwa mkataba wa 80,000/week with performance benefits.
Sasa sijui itakuwaje maana naona kama namba zitagombewa si mchezo.
Mkuu imethibitishwa hiyo au ni tetesi tu?
Balotelli's three seasons at City were blighted by trouble, on and off the field, although he did manage 30 goals for the club in all competitions.
hii statement inaonyesha Balotelli sio mfungaji kivile ila ni maarufu kwa mambo mengine, sijui rekodi yake huko AC MILANI ila hapa inaonyesha hata Sturridge ni mfungaji mzuri kuliko Ballotelli.
Ni tetesi mkuu, Etoo mwenyewe anataka 100,000. Hakuna uhakika kama ataikubali hiyo offer.
Mkuu imethibitishwa hiyo au ni tetesi tu?
Pamoja sana mkuu naomba hilo dili lisifanikiwe. YWNA
Kama tukifanikiwa kumpata Balo,Eto'o aje tu,kwani shida iko wapi? Badala ya Lambert,acheze Eto'o.
Mkuu Etoo mpira umeisha msiangalie tu kwamba anakuja bila ada ya uhamisho angalia na mshahara unaopukutka kwa useless player, ilimradi ballo kaja Etoo wamtose ni kujaza mizigo tu pale.
I always do not trust Goal.com newz!
We Manure,Baloteli wkt yupo city mara nyingi alikuwa mtu wa kuingia sub. Alianza mechi 33 tu,nyingine zote aliingia sub na hata hizo alizoanza nyingi hakumaliza dk.90(na hapa alikuwa dogo wa miaka 21 tu). Kule AC millan kafunga goli 30 kwenye mechi 52.Binafsi sina shaka na uwezo wa Balo kwenye kufunga magoli,tatizo lake kubwa ni nidhamu,anaweza kupewa red dk.ya 5 tu ya mchezo na kuwaacha watu 9 wakiumia dk.85 zilizobaki kwa ujinga wake.
Mkuu,huo mshahara unamlipa wewe? Acha apige mpunga,hela si ya wazungu ile? Wewe inakuuma nini?
I dont trust goal.com kwnzaaa piaa ukianglia metro n express za uk zote hkuna habar huyo etoo cz zlinichanganya n cpend kumuona LFC....nmefurahi sanaa kumuona BALO akiwa tayar ametua london...n hii issue y falcao nayo bado naona ipo ipo tu......ila me kama shabiki wa LFC kuna ST nawapenda kuona cku wankuja LFC nao n Mauro Icardi na Luis Muriel........ila kitu balo ndan y nyumba cna wacwac tenaa